anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Kiufupi ni mwanamke niliempenda Sana. Niliingia gharama kadhaa kama vile saloon, kusomesha wanae, chakula na mahitaji kadhaa ya mavazi na Yale mengine ambayo huwez ukayazingatia kama mwenye jukumu lake.
Baadae alikuja kuona kwamba mumewe ambae hawajafunga ndoa, alihitaji asaidie kulea watoto wake watatu. Kwa maana kufunga ndoa. Nikasema ni jambo la heri, kilichoniuma alini block.
Inauma sana, na jiuliza kwanini