Moyo wangu ukimkumbuka una piga-Ppaah! Sijui kwanini

Moyo wangu ukimkumbuka una piga-Ppaah! Sijui kwanini

Kukutana na mama watatu this time ndio ilikuwa mwisho wa kuonana tena na jirani mpelelezi. Nikipanga hivyo makusudi. Niliamua kuvunja benki kumpeleka hotel ya five star. Nilioanga kummaliza kabisa asibaki na wazo tena na aumie yeye. Nikimbebea laki 5 keshi, nguo zake, iphone matata.

Nilipanga nisimle. Bali tupate chakula pamoja.

Nilimuandalia risala matata sana. Na nilifanya kama zawadi na asininlock tumalizane kistaarabu.

Mzee ndani ya hotel ya kisasa, alipendeza lkn matamanio ssikuwa nayo Tena, kipengele cha mke was mtu aliyetorokwa na akarejea sikutaka kinihusu.

Baada ya kuingia nilimkaribisha akakaa tukakaa na mazingumzo yalianza.

Mimi. "" Nini sababu ya Kuni block"

Mama watatu. (Alijiumauma)..." Yule mjinga asiyejali alinibana Santa"

Mimi. "Pole" "shika hii " nikampa laki 5 keshi aka hamaki nikamuelezea.

"Sikutaka kukuchezea nilitaka tuishi tulee watoto na wengine ambao unhenizalia" " nilikisudia maisha yenye amani utulivu na matumaini, nilikubali ukalee wanao na tungeendelea kuwasiliana Kwa uzuri tu. Lkn uka ni block.

" ...Na Mimi nikaamua nipate wasaa TU nikupe zawadi nilizokuandalia, aunkuna ubaya..."

Mama watatu...(akaanza kulia)...nikamuacha aalie.


Kama dakika10 za kilio nikamtolea mazagazaga na nguo.

Akasimama akaanza kuja kwangu kama anataka Ani hug...

Nikamwambia tulia kwanza.
🤦‍♀️
 
Unakuta wazazi wanaishi kwa shida unasomesha watoto wa mwanaume mwenzio
 
Tulikubaliana kwenye vikao vyetu ya kwamba kama mwenye mtoto/watoto yuko hai hakuna kuoa wala sogea tuishi.
Umetuangusha mkuu ila usiwaze funzo ushalipata so fanya kama umetoa sandakan tuu kwa viumbe wake utabarikiwa.
 
Back
Top Bottom