anti-Glazer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 291
- 482
Unasomeshaje watoto si wako mkuu endelea kuumia kwa maumivu uliojitakia hata kuhudumia hao watoto ni marufuku.Kiufupi ni mwanamke niliempenda Sana. Niliingia gharama kadhaa kama vile saloon, kusomesha wanae, chakula na mahitaji kadhaa ya mavazi na Yale mengine ambayo huwez ukayazingatia kama mwenye jukumu lake.
Baadae alikuja kuona kwamba mumewe ambae hawajafunga ndoa, alihitaji asaidie kulea watoto wake watatu. Kwa maana kuffunga ndoa. Nikasema ni jambo la heri, kilichoniuma alini block.
Inauma sana, na jiuliza kwanini
Moyo wangu ukimkumbuka una piga-Ppaah! Sijui kwanini Kwa kweli.
Aisee kweli mapenzi yanatesa watu 😂😂Alinifanya niwe mtu wa bia BIA BIA. Pesa zote ambazo niliacha kumhuddumia nikazihamishia bar. Nikawa mtu wa masanga Hadi nikaona nitakufa.
Nikaamua kuanza kula Malaya, mabar maid kula Kwa kwenda mbele lakini sijaona nafuu.
Niliambua kuwasha ndinga hadi kwake, Kwa kuwa haijui, nikawa napack pembeni mwa nyumba aliyopangisha, na tinted namsona TU akiingia na kutoka.
😂😂😂
Muda wa kufanya mambo yote hayo ulikuwa unautoa wapi, Mbona time iko very limitedAlinifanya niwe mtu wa bia BIA BIA. Pesa zote ambazo niliacha kumhuddumia nikazihamishia bar. Nikawa mtu wa masanga Hadi nikaona nitakufa.
Nikaamua kuanza kula Malaya, mabar maid kula Kwa kwenda mbele lakini sijaona nafuu.
Niliambua kuwasha ndinga hadi kwake, Kwa kuwa haijui, nikawa napack pembeni mwa nyumba aliyopangisha, na tinted namsona TU akiingia na kutoka.
Kama huna muda basi hujapenda, ogopa kupendaMuda wa kufanya mambo yote hayo ulikuwa unautoa wapi, Mbona time iko very limited
Tena angekufa kabisa eti eegh?Unasomeshaje watoto si wako mkuu endelea kuumia kwa maumivu uliojitakia hata kuhudumia hao watoto ni marufuku.
🪓🪓🪓Bwenge mtozeni tulia dawa intafuta ugonjwa. Ulipokua unatoa hizo huduma ulikua unategema nini as return?
Mwanamke humzalia mwanaume anaempenda, alimzalia anampenda na wewe ukajipenyeza kwa kumshawishi kumhudimia akazipuna akarudia anakopenda