Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

Mkuu hilo neno si ungelivalisha cover angalau!!!!!!
hiyo inaitwa "sikufichi language"....ndo lugha wahuni wanayotumia na wewe umempenda mhuni,jiandae kusikia lugha pale mhuni akiomba papachu
 
Mhhh! Sikujua kama kuna Wanawake wanaweza kumzimia njemba kiasi hiki miaka hii ya utandawazi. Usisahau mrejesho ukishamuweka kwenya himaya yako na kapicha katapendeza ili nasi tuone kamzuzu, weusi wake na mwanya I hope ni mwanya wa kuzaliwa na si wa kuchonga lol! Hukodi boda boda nyingine siku hizi weye na mwenye kamzuzu tu! hahahaha

 
Ukiwa na kamzuzu na mwanya itapendeza Mkuu 🙂🙂
He he he he
Mkuu huyu anapenda wenye vitambi mkuu.
😛😀😛😀😛😀
 
Hahahahahahahah lol! ukiotesha kitambi itapendeza Mkuu unaweza kufikiriwa kupewa utamu.
hahahahah, jamani mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…