- Thread starter
- #181
😛😛😛😛😛Hapana nimefanikiwa kukuvutia picha kwa juu so nishakuelewa.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😛😛😛😛😛Hapana nimefanikiwa kukuvutia picha kwa juu so nishakuelewa.... [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Lots of loveNa mie nimefurahi kama umefurahi. hahaha
hiyo inaitwa "sikufichi language"....ndo lugha wahuni wanayotumia na wewe umempenda mhuni,jiandae kusikia lugha pale mhuni akiomba papachuMkuu hilo neno si ungelivalisha cover angalau!!!!!!
Moyo jamani moyo!!!
Mwenzenu nimetokea kumpenda Dreva wa Bodaboda hadi najisikia akili inadundadunda.
N mwanamme mpole, ana kamzuzu kwa mbali, mweusi, mnene kiasi, mrefu, akicheka ana kamwanya fulani hivi, jaman jamani mie yaani natamani kila mara nimuone tu japo kwa mbali.
Nimefanya upelelezi wangu, ni miongoni mwa wale watumishi waliopata dhahama ya vyeti feki.
Na yeye ananipenda ila hajawa direct. Jamani moyo huuu.
Nimewaza zawadi ya kumpa ili kuonesha nampenda ila bado sijafikia maamuzi sahihi. Nawaza nikamnunulie yale makoti yao mazito kama manne hivi, au nimnunulie boxer, au nimnunulie kadi.
Hebu nishaurini nimnunulie nini mimi huyu ndugu anayeutesa moyo wangu kama ishara ya kumuonesha kuwa nimekufa na kuoza hadi kunuka juu yake.
MBITIYAZA msaada mwenzio niko hoi kwa bodaboda
He he he he he
kwa ulivyomsifia aisee, utatufanya wote tugeukie tuwe madereva boda boda.
He he he heUkiwa na kamzuzu na mwanya itapendeza Mkuu 🙂🙂
😀😀😀hiyo inaitwa "sikufichi language"....ndo lugha wahuni wanayotumia na wewe umempenda mhuni,jiandae kusikia lugha pale mhuni akiomba papachu
😀😀😀😀😀Mpatie pichu yako ambayo umeshaitumia ...yenye alama ya K
Mhhh! Sikujua kama kuna Wanawake wanaweza kumzimia njemba kiasi hiki miaka hii ya utandawazi. Usisahau mrejesho ukishamuweka kwenya himaya yako na kapicha katapendeza ili nasi tuone kamzuzu, weusi wake na mwanya I hope ni mwanya wa kuzaliwa na si wa kuchonga lol! Hukodi boda boda nyingine siku hizi weye na mwenye kamzuzu tu! hahahaha
Ukiwa na kamzuzu na mwanya itapendeza Mkuu 🙂🙂
😛😀😛😀😛😀He he he he
Mkuu huyu anapenda wenye vitambi mkuu.
He he he he
Mkuu huyu anapenda wenye vitambi mkuu.
hahahahah, jamani mbavu zangu mieeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeHahahahahahahah lol! ukiotesha kitambi itapendeza Mkuu unaweza kufikiriwa kupewa utamu.
Anajiheshimu sio mtu wa kuwaza ya hivyo ana heshima zake ndio maana nampendaUpo tayari kumpa choo
Yaap!.Siku ukijua bodaboda sio yake ulete mrejesho
Nimefuatilia ni bodaboda yake kabisa.Yaap!.
Ulifanikiwa kugegedwa nae?Nimefuatilia ni bodaboda yake kabisa.
Bado tunatiana amsha amsha hatujavuana nguo, ila ni mzuri sana yule kaka uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Huwa nikimuona moyo unakwenda ndivyo sivyo!!!Ulifanikiwa kugegedwa nae?
Amsha dude chelewa chelewa utakuta mwana si wakoBado tunatiana amsha amsha hatujavuana nguo, ila ni mzuri sana yule kaka uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Huwa nikimuona moyo unakwenda ndivyo sivyo!!!
Ahsante kwa ushauri, kesho Mei Mosi nitaliamsha, hahahahahaAmsha dude chelewa chelewa utakuta mwana si wako