Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

huyo jamaa hawezi kusimamisha kwa sasa bado ana msongo wa mawazo wa vyeti feki... 🙄😀😀
Vyeti feki ameshamaliza mwaka mmoja tangu atimuliwe kazi. Kwa sasa yuko kwenye mfungo, ila nampenda sana hasa "kamzuzu" kale. na macho yake kama gololi fulani, hahahahahahaahhahahah
 
Nilidhani utanitaja mimi kumbe boda boda, Daah wacha tu nijitakie mfungo mwema..!!
 
Naona umetanguliza mambo ya vyeti feki...
Husijali hata boda boda tuna haki ya kupendwa na kupenda
 

Msaada mkuu wewe ruka nae tu huyo TISS hakuna namna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…