Moyo wangu 'umemdondokea' huyu dreva wa Bodaboda

aah mi nikajua mzuzu wa chini bna.sasa mzuzu huo una faida gani na wewe acha ujinga ushalogwa wewe
Unanitekenya kwenye shingo na sehemu zingine, ni mzuri sana huo ujue hasa ukipata mmiliki anayejua kutumia. halafu faida nyingine ya mzuzu, mfano kama ni mwanamme ambaye anapenda kutembelea wilaya ya Uvinza kule Kigoma, ooooooooooooooooooooooooooooooooooooops! nimeshindwa kukuelezea hapo inavyokuwa!!!
Mzuzu kitu ingine bwana! tehe tehe tehe
 
Asante Mungu ni mimi huyo wala haukosea wasifu wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…