- Thread starter
- #141
Unanitekenya kwenye shingo na sehemu zingine, ni mzuri sana huo ujue hasa ukipata mmiliki anayejua kutumia. halafu faida nyingine ya mzuzu, mfano kama ni mwanamme ambaye anapenda kutembelea wilaya ya Uvinza kule Kigoma, ooooooooooooooooooooooooooooooooooooops! nimeshindwa kukuelezea hapo inavyokuwa!!!aah mi nikajua mzuzu wa chini bna.sasa mzuzu huo una faida gani na wewe acha ujinga ushalogwa wewe
Mzuzu kitu ingine bwana! tehe tehe tehe