Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Khaaaaaa,dear mother,sweet mother please fight for me![]()
Pole bibie!!dear mother,sweet mother please fight for me![]()
dear friends mama yangu anaumwa saaaaaana please muombeeni.
ubarikiwe mpendwaTunakuomba ewe Baba Mwenyezi unyooshe mkono wako umponye huyo Mama anayeumwa apate kupona na kuwa mzima kabisa katika jina la Yesu Kristo wa Nazareti unayeishi na kutawala milele na milele pokea uzima Mama sasa katika jina la Yesu Kristo, nguvu zote za wachawi, wanga, mapepo, majini nazivunja na kuziamuru zitoke na kurudi zilikotoka kwa jina la Yesu Kristo, asante Yesu kwa kuwa hakuna linaloshindikana kwako, ni katika jina la Yesu Kristo ninaomba na kushukuru, Amen.