Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Amin dear
 
Hii story niliwahi kuisoma sehemu wewe ni muongo sana
 
Hii ni story ya upande mmoja..labda tungensikia na mlalamikiwa tungebalance
 
Kama ushaoa/kuolewa, why uende mbali na mwenzako eti unaenda kutafuta maisha, kwani hapo ulipo hamli mkashiba ? Kama ukienda bas nenda na mwenzak lkn sio aende mmoj mwengn abak, huo nd mwanzo wa kuchepuka na ndio mwanzo wa fitina za ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…