Moyo wangu unaungua, Akili inaharibika, Mwili unakonda, Mapenzi yanatesa sana

Huyo ndo mmeo unamuachaje kwenye shida Sasa wakat uliapa shida na Raha,muombee na mtie moyo,Hicho ni kipimo Cha Imani.
Ukimtenga ndio utampoteza zaidi zidisha upendo yaliyompata yameletwa ili kumfunza wengi walipita hivyo Leo ni wababa bora na walisimama wameendelea,
Aombe tu kesi iishe afukuzwe kazi na Sio kufungwa.
Hayo ni mapito
 
Dah,pole sana kwa sasa jitahidi kutuliza mawazo mpaka ujifungue kwanza,tena una bahati wazazi wamekupokea kwa mikono miwili,relax
Najitahidi sana, mwanzoni ilikua nalazwa sana na presha ila sasa hata presha zimepungua ila ni moyo tu bado unauma na akili haijakubali, naishukuru pia family yangu kwa kua na mie bega kwa bega katika kipindi hiki kigumu 🙏
 
Nakushauri jambo la kiutuzima ngoja nipaki.
Pole sana maisha bila mapito Sio maisha hayanogi,wewe sio wa kwanza wengi Wana mazito zito yako na wamesimama.
Huyo ndio mmeo wala usimuache
Seriously?😳
 
Tatizo lilianza pale mumeo alipoenda huo mkoa x akaanza issue ya michepuko,ulifanya makosa kumsamehe,ungeachana nae wala haya yasingekufika,ndio maana wazungu ukimcheat tu na ndoa inaishia hapo.
Are you married?
 
@Maxence Melo nashauri tu mkuu tuanzishe shindano kama ilivyo stories of change tunaweza kuwapata waandishi wazuri wa story za mapenzi au hata waandika script wazuri wa muvi
NAWASILISHA

Usisahau kunipa kitengo endapo shindano litaanzishwa

Skudu06
 
Nashukuru sana, siwezi kupenda tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…