Moyo wangu. . . .

MagicM

Member
Joined
Sep 19, 2011
Posts
80
Reaction score
7
Kuona. . . . . . Jicho ndo kaz yake lakin naulaumu Moyo kupenda kitu co chake. . . .
 
Kuona. . . . . . Jicho ndo kaz yake lakin naulaumu Moyo kupenda kitu co chake. . . .

hivi jamani mbona kila mtu akija hapa na thread anayalaumu mapenzi?is it true hakuna kitu kizuri tunaweza kuzungumza juu ya mapenzi?is it true hakuna jema ambalo penzi ulilonalo au ulilowahi kuwa nalo lilikufanyia jambo jema?moyo unalaumiwa mengi jamani!
 

Ni hulka ya bnadaamu kulalamika
au kutothamini kitu/mtu mpaka atoweke/kitoweke
ndo maana watu hununua magari ya bei mbaya
halafu wanalalamikia bei ya mafuta
hawajiulizi wenzao wanaokosa hata nauli ya daladala walalamike nini
 
Maumivu ya kichwa huanza pole pole
 
"nilaumu macho yangu, au moyo nambieni"

Na wale wanaowapenda watu bila ya kuona sura na maumbile yao, walaumu nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…