Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnaharibu nyimbo za watu
'siyalaumu macho,kuona ndo kazi yake'
naulamu moyo,kupenda kitu sio chake.
Kuona. . . . . . Jicho ndo kaz yake lakin naulaumu Moyo kupenda kitu co chake. . . .
Big Boss acha watu wajiburudishe ndugu yangu ........:redface:
hivi jamani mbona kila mtu akija hapa na thread anayalaumu mapenzi?is it true hakuna kitu kizuri tunaweza kuzungumza juu ya mapenzi?is it true hakuna jema ambalo penzi ulilonalo au ulilowahi kuwa nalo lilikufanyia jambo jema?moyo unalaumiwa mengi jamani!
I miss you big time ....
how's life treating you ??
So far so good...
and you?
getting there slowly .
I'm happy to hear your all good...
there is something i wanna ask you. can you please hit me when your free??
Mh..haya wakuu mi napita tu!Salama lakini??i am free now
nakuja
i am free now
nakuja
Na wale wanaowapenda watu bila ya kuona sura na maumbile yao, walaumu nini?
Kina nani hao?