GE2025 Moza Ally kuwania Ubunge Kinondoni kupitia CHAUMMA

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Mwanachama wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Moza Ally, ametangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Akizungumza leo Julai 28, 2025, Moza amesema ana uhakika wa kushinda nafasi hiyo iwapo Chama chake kitampatia ridhaa ya kugombea.

"CHAUMMA kikinipa ridhaa ya kugombea ubunge Jimbo la Kinondoni, hakuna mgombea yeyote wa CCM atakayeniweza. Kwa hilo nina uhakika, na ninatuma salamu mapema – wajipange." amesisitiza Moza

Kila la heri
 
Mzee wa Kamali aka mzee pleti namba za magari ya wabunge ndiyo basi tena
 
Mwenyewe number ya huyu demu Moza anitumie Nina kazi tafadhali 😂
 
Hivi wanategemea kweli CCM itawaachia hata jimbo moja? Yaani Siku chadema ikifa ndio mwisho wa upinzani milele maana sioni chama kingine serious kuitoa CCM.
 
Back
Top Bottom