Kwa hiyo. Anataka azae na mwinginee auuu
Mbwa wa Mfalme na yeye mfalme kwenye mbwa wenzie..
Hhhhhhaaaaaaaa
Kweli ivo shostiii,manake na yeye anataka awekwe kwenye gazeti,huyu Aunty ni mwanamke wakua nae si keshaishiwa hata akitupiwa mbwa hautaki mzoga huo,yeye kaona kapata huoni maajabu hayo?
Hhhhhaaaaaa uwiiiiiiiiiiiiiiii??????
Auntie balaa,mke wa Hartman MBILINYI,aliiipata joto ya jiwe,huyu antie sijui anawapaga nini waume za watu
Kwa hiyo. Anataka azae na mwinginee auuu