Moze iyobo: Mimi siyo mume wa mtu,sijaoa

Moze iyobo: Mimi siyo mume wa mtu,sijaoa

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Dansa wa Nasibu Abdul ' Diamond ' , Moses Iyobo amefunguka kuwa hajawahi kuoa wala kuchumbia bali amezaa na mwanadada anayeitwa Mwengi . Dansa huyo ambaye hivi sasa anadaiwa kukolea kwa penzi la mwigizaji Aunt Ezekiel. Alizidi kutiririka kuwa anachukizwa sana na watu wanavyomuita mume wa mtu wakati bado hajafikiria . "Mimi jamani nimezaa na nina mtoto lakini bado sijaoa na wala sijafikiria kufanya hivyo , " alisema Moses .
 

Attachments

  • 1411373185955.jpg
    1411373185955.jpg
    60.5 KB · Views: 1,008
Kwa hiyo. Anataka azae na mwinginee auuu
 
Kwa hiyo ndo anatangaza kwamba yupo Available au? Kwa hiyo huyo uliyemzalisha huna mahusiano naye au? Vivulana vingine mtcheeeeeeew
 
Hhhhhhaaaaaaaa

Kweli ivo shostiii,manake na yeye anataka awekwe kwenye gazeti,huyu Aunty ni mwanamke wakua nae si keshaishiwa hata akitupiwa mbwa hautaki mzoga huo,yeye kaona kapata huoni maajabu hayo?
 
Kweli ivo shostiii,manake na yeye anataka awekwe kwenye gazeti,huyu Aunty ni mwanamke wakua nae si keshaishiwa hata akitupiwa mbwa hautaki mzoga huo,yeye kaona kapata huoni maajabu hayo?

Wanaita wuguhamva yaan hata mbwa akiuona anaupiga tekee
 
Nahisi huu ni upungufu wa akili kwani huwezi jivunia kuwa na mtu ambae salio la mapenzi ktk mwili wake ni shilingi ZERO.

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
duuu aunt ezekiel noma sijui anampa nini ndogo wa watu,ashambemenda mpaka dogo anamkana mke wake,subiri apewa nyama ya hamu atamkana mpaka mtoto wake...
 
Mwengi uache kuherehere,ndo hasara ya kuzaa na mtu kabla ya ndoa huku ukimtegemea akuoe
 
Dah tuna safari ndefu ya kufikia kuwa na Celeb wa ukweli.
 
Back
Top Bottom