Moze Iyobo: Simuachi ng'o Aunt Ezekiel

Moze Iyobo: Simuachi ng'o Aunt Ezekiel

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
12.JPG

Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond,' Moses Iyobo (katikati).

Mcheza shoo wa Mwanamuziki Nasibu Abdul "Diamond" Moses Iyobo amefunguka kwa mara ya kwanza baada ya kuenea uvumi wa kutoka kimapenzi na mcheza filamu mahiri Bongo, Aunt Ezekiel kuwa hawezi kumuacha Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni , Moses alisema kuwa kutokana na maneno mengi kuenea kuwa anatoka na Aunt, ameona ni bora aweke wazi hisia zake kwamba ni kweli anampenda msanii huyo na kuwa naye mbali itakuwa vigumu .

Mengi yameongelewa sana sasa naweka wazi kuwa nampenda sana Aunt . Unajua kama mtu haukuwa na uhusiano naye mara unaanza kusikia vitu vya ajabu bora tu ufanye kweli hata kama wanakusema wakuseme kihalali na si vitu ambavyo si vya kweli, alisema dansa huyo ambaye ni mume wa mwanamke aliyefahamika kwa jina moja la Mwegi .

Chanzo: TheChoice
 
Ahahahaah ahaaha dah umenifuraisha sana, huyo auntt na yeye kafulia kutembea na wacheza shoo, mfyuu...

inaezekana uno lile na sarakasi la dansi limemkoleza aunt
 
Unadharau wacheza shoo eti eh
Usiwadharau hao!wanajijua hawana cha kuwapa mademu bali mauno na huwajibika kweli ,mwishowe pesa unayohonga wewe anapewa Mr Mauno! nawaogopa wasije wakapitia mchepuko wangu!
 
Hahahah salio la mapenzi kwa huyo aunt ni shilingi SIFURI hawezi kuwapigia ma pendeshee kwasasa ndio maana ameopolewa na mkata mauno,
 
Back
Top Bottom