Moze Iyobo '' tatizo ni diamond mimi ni kioo tu''

Kumekucha mawingu na Wasafi [emoji23][emoji23][emoji23] ila hii tabia ya kuzima vipaji na riziki za watu Kutokana na sababu Binafsi ni ungese tuu
Ruby alikuwa bonge la icon
Jide " pia
Sugu pia
Now mondii
Ngoja tuone mwishowe lakini mtu aliyeshindwa kuwa na msimamo wa maisha kuanzia familia ndogo ya mke na watoto
Kundi kubwa ndo ataweza kweli shubamit
 
Wanatuzingua hao kila siku kiki za kishamba.
 
Kila mtu huwa na mawazo ya kibiashara bila kupinda clouds radio na television pia ea adio na eatv ndizo channels bongo zinazoongoza kwa kuwa jihusisha na issues za vijana especially music
Tatizo linakuja pale Kijana chibudi chibude anapotangaza kwamba anafungua radio na television yake
Alipokea kukatishwa tamaa toka kwa mange kimambi
Ila hzo channels zimeona userious wakijana nasibu Abdul kwamba anamaanisha kutimuza kuwa na TV na radio
Hvy wanaanza kumuwekea vikwazo vingi just imagine eatv wanakataa kupiga nyimbo ya diamond alafu nyimbo inapigwa mamton kwenye channels zinazotazamwa na watu wakubwa hicho ndicho kinachompa diamond kiburi
Tunajifunza nn toka kwa nasib Abdul ni Plan make secret but your successful can make big noise to your enemy
 
huyu mgambia bwana...kwahiyo Mondi ndo alimtuma afanye vile...kutaka kumuingiza Mondi wa watu kune ujinga wake...angekua na hekima angeomba tu radhi yakaisha...au angeuchuna tu...sio kuanza kumdrag Chibu kune upuuzi wake...
KWA AKILI YAKO HUYU MKATA VIUNO ANAWEZA KUMPIGA MTU hata kofi km hajasema "kalale nacho;
kalegea kila kiungo mpk ulimi unashindwa hata kumpa jina zuri mwanao unamuita biscuit.
 
Shule raha sana huyu Mose anafanya kitu cha kijinga sana!mtu ambaye future yako haileweki bado unaingia mabifu ya maboss!!!
 
Sijaona ulazima wa Diamond kuanzisha media. Biashara zipo nyingi na zinazolipa kwa kutumia media hizi hizi zilizopo. Sidhani kama alipata ushauri mzuri *sana* kabla ya kulipitisha hili.
 
Sijaona ulazima wa Diamond kuanzisha media. Biashara zipo nyingi na zinazolipa kwa kutumia media hizi hizi zilizopo. Sidhani kama alipata ushauri mzuri *sana* kabla ya kulipitisha hili.

Kama ipi anbayo ungemshauri[emoji15]
 
Sijaona ulazima wa Diamond kuanzisha media. Biashara zipo nyingi na zinazolipa kwa kutumia media hizi hizi zilizopo. Sidhani kama alipata ushauri mzuri *sana* kabla ya kulipitisha hili.
Acha umbea..hiyo biashara nzuri mbona we huna?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…