Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iyobo bwege tu yule Shilawadu walienda muhoji mkewe kutokana na bifu lake na tunda sasa hapo diamond anaingiaje?huyu mgambia bwana...kwahiyo Mondi ndo alimtuma afanye vile...kutaka kumuingiza Mondi wa watu kune ujinga wake...angekua na hekima angeomba tu radhi yakaisha...au angeuchuna tu...sio kuanza kumdrag Chibu kune upuuzi wake...
Ebu nimegee kidogo yaliyojiri mkuu sikusikiliza.Nilikereka sana na interview ambayo Ruby alifanyiwa kwenye XXL. Yaani Clouds ni wadhalilishaji wakubwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenyewe wana mwita cookieKWA AKILI YAKO HUYU MKATA VIUNO ANAWEZA KUMPIGA MTU hata kofi km hajasema "kalale nacho;
kalegea kila kiungo mpk ulimi unashindwa hata kumpa jina zuri mwanao unamuita biscuit.
Kwenye uchambuzi wa mpira ningekuita Kashasha. Hongera sana mkuuKila mtu huwa na mawazo ya kibiashara bila kupinda clouds radio na television pia ea adio na eatv ndizo channels bongo zinazoongoza kwa kuwa jihusisha na issues za vijana especially music
Tatizo linakuja pale Kijana chibudi chibude anapotangaza kwamba anafungua radio na television yake
Alipokea kukatishwa tamaa toka kwa mange kimambi
Ila hzo channels zimeona userious wakijana nasibu Abdul kwamba anamaanisha kutimuza kuwa na TV na radio
Hvy wanaanza kumuwekea vikwazo vingi just imagine eatv wanakataa kupiga nyimbo ya diamond alafu nyimbo inapigwa mamton kwenye channels zinazotazamwa na watu wakubwa hicho ndicho kinachompa diamond kiburi
Tunajifunza nn toka kwa nasib Abdul ni Plan make secret but your successful can make big noise to your enemy
Walifanyaje mkuu?Nilikereka sana na interview ambayo Ruby alifanyiwa kwenye XXL. Yaani Clouds ni wadhalilishaji wakubwa.