Moze Iyobo '' tatizo ni diamond mimi ni kioo tu''

Moze Iyobo '' tatizo ni diamond mimi ni kioo tu''

huyu mgambia bwana...kwahiyo Mondi ndo alimtuma afanye vile...kutaka kumuingiza Mondi wa watu kune ujinga wake...angekua na hekima angeomba tu radhi yakaisha...au angeuchuna tu...sio kuanza kumdrag Chibu kune upuuzi wake...
Iyobo bwege tu yule Shilawadu walienda muhoji mkewe kutokana na bifu lake na tunda sasa hapo diamond anaingiaje?
 
Bifu za kijinga sana hizi zinazofanywa na watu wapuuzi
 
Hawa clouds hawa wanapendaga sana kuwacontrol wasanii wawe chin yao na wafate wanachokitaka
Nakumbuka hawa ndo waliowagawa mashabiki wa kiba na mond na kutengeneza timu mbili zenye bifu lisiloisha[emoji57]
 
Akili hizi! kwahyo ukiwa kwenye mwamvuli flani ukifanya kosa uchekewe kisa uko ccm au wcb.
 
KWA AKILI YAKO HUYU MKATA VIUNO ANAWEZA KUMPIGA MTU hata kofi km hajasema "kalale nacho;
kalegea kila kiungo mpk ulimi unashindwa hata kumpa jina zuri mwanao unamuita biscuit.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wenyewe wana mwita cookie
 
Kila mtu huwa na mawazo ya kibiashara bila kupinda clouds radio na television pia ea adio na eatv ndizo channels bongo zinazoongoza kwa kuwa jihusisha na issues za vijana especially music
Tatizo linakuja pale Kijana chibudi chibude anapotangaza kwamba anafungua radio na television yake
Alipokea kukatishwa tamaa toka kwa mange kimambi
Ila hzo channels zimeona userious wakijana nasibu Abdul kwamba anamaanisha kutimuza kuwa na TV na radio
Hvy wanaanza kumuwekea vikwazo vingi just imagine eatv wanakataa kupiga nyimbo ya diamond alafu nyimbo inapigwa mamton kwenye channels zinazotazamwa na watu wakubwa hicho ndicho kinachompa diamond kiburi
Tunajifunza nn toka kwa nasib Abdul ni Plan make secret but your successful can make big noise to your enemy
Kwenye uchambuzi wa mpira ningekuita Kashasha. Hongera sana mkuu
 
Back
Top Bottom