Niombe ushauri kutoka kwa wale waliopitia programs hizo au wenye uelewa wa hivyo vyuo na MPA zao. Nia yangu si-kushindanisha vyuo bali nataka kujua kwa kila chuo naweza kutarajia kupata walimu wazuri wa kutosha kufundisha hizo course na pia kusimamia dissertation work? Si jali kama hao walimu wana masters tu au zaidi bora wawe na experience ya kutosha. Niko​ tayari kufanya kazi.