utantambua
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,367
- 323
Kaa kimya wiki nzima, kama hajakusalimia amua la kufanya.
Principle ya msingi katika mahusiano: ukiona unatumia nguvu mno kutunza mahusiano, ujue unalazimisha, mwenzio anakupa message ya kiungwana kuwa it is over.
Jitoe kimya kimya na wewe.
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?