Mpaka aanzwe

Mpaka aanzwe

Kaa kimya wiki nzima, kama hajakusalimia amua la kufanya.

Principle ya msingi katika mahusiano: ukiona unatumia nguvu mno kutunza mahusiano, ujue unalazimisha, mwenzio anakupa message ya kiungwana kuwa it is over.

Jitoe kimya kimya na wewe.

Asipokuelewa hapa basi tena
 
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?

Hakuna ki2 kibaya kama kuachwa!! Usipoweza kusoma maandishi ukutani basi kila siku utakuwa m2 wa kuachwa tu halafu ufikie kusema "sitamani tena kupenda!" bana, sometime unatakiwa kusoma alama za nyakati na kujifunza kuacha kabla hujaachwa rasmi!! kwavile umependa, ukiacha itakuuma sana, lakini katu maumivu yake hayatafikia sawa na yake ya kuachwa! maumivu ya kuachwa ni makali maradufu. Hata hivyo, kuacha nako kunahitaji skills; don' pretend kama hizo skills huna! Ni heri uende ukampigie magoti na kumwaga machozi kwamba huwezi kuishi bila yeye kuliko ku-pretend kuacha wakati skills za kuacha huna! In short tu ni kwamba, unapoamua kuacha basi unatarajia utamuumiza sana mwenzako (na kama yeye alikusudia kukumwaga wewe na ukamwahi; basi hakuna kumuhurumia hapo, unless otherwise stated) lakini unaacha halafu unakuta mwenzako wala habari hana....hapo inauma mkuu! kwahiyo skills za kuacha ninazozungumzia hapa ni zile za kupotezea maumivu hayo ya kuumia wewe wakati ulizania angeumia yeye....unajifanya kama huumii, kumbe dah..full mapunye kwenye moyo wako!!!lakini less skillful loverz, wanapoza maumivu kwa kupita na videmu/vivulana vingine mbele ya yule uliyejifanya kumuacha......usiache kwa mbembwe!!
 
hivi kwa mliiooa unalala na mke mpaka asubuhi, sasa salamu ya nini?? muda wote mpo pamoja, salamu ya nini sasa au jamaa anataka aamkiwe SHIKAMOO?? Mwongozo
 
. .unasaidiwa asee, if kweli ako na true feelings for you (like you think she is), then utakuwa unaroam in her mind all day and angalikusalimia first thing in the morning., it seems to me yuko na somebody else in her mind,
lakini pia yawezekana umemzoeza kumgreet kwanza and umecreate mazingara ya yeye kuthink U'll be the first kumsalamia
 
kaka niko na tatizo kama lako, wiki sasa na mimi nimekaa kimya kusikilizia simu yake ya salamu au hata kuulizia chochote lakini kimya mpaka sasa. Najitahidi pia kutopiga na wala sipigi mpaka atakapokuja kupiga yeye mwenyewe. kweli ni vizuri kusoma alama za nyakati. mi nimeshazisoma
 
Wanajf habari zenu?mimi na mpenzi wangu na nampenda sana.Tatizo lililojitokeza hivi karibuni ni kwamba kila siku lazima nimuanze mimi kumsalimia,na mimi huwa naona kawaida si mpenzi wangu?na ikitokea ukawa busy kidogo hukumsalimia basi siku itapita mpaka umuanze tena.Nimechoshwa na hii tabia,nifanyeje?

Salamu haigombi. Endelea, ukichoka utaacha.
 
Back
Top Bottom