Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
Kwanza kwa sasa wana Rais anayejielewa sana. Si mtu wa blah blah. Na pili wanatengewa pesa nyingi sana za maendeleo. Nimesikia wametengewa bilioni 250 ya pesa za Covid.
Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.
Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.
Ni pesa inayoweza kufanya makubwa sana ukizingatia kuwa Zanzibar ni nchi ndogo na yenye watu wachache sana.
Zanzibar isipoendelea awamu hii haitakuja kuendelea tena.