Mpaka dakika hii kiba hajawa nominated kwenye tuzo hata moja ndo kusema mziki wake umefifia

Mpaka dakika hii kiba hajawa nominated kwenye tuzo hata moja ndo kusema mziki wake umefifia

Nyimbo za Kiba nyingi mbaya...
Jumlisha na mkataba wa sony, yamemkuta yaliyomtokea Davido.

Sent from my Diamond Crypto using JamiiForums mobile app

Msiwasingizie Sony bure, kwani wao ndio wanamwandikia mistari?
 
Back
Top Bottom