Mpaka fulani!!

Mpaka fulani!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,794
Reaction score
9,075
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:
 
Hauna mpenzi bali una wapenzi. Acha kumpotezea mwenzio muda, upo hapo?
 
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:

sasa si urudi kwa Anjelina......acha kumyeyusha mwenzio
 
humpendi mpenzi wako jaribu kuweka fikra zote kwake halafu kuna siku utajisahau utamtaja Anjelina katikati ya majambo na mpenzi wako ndio hapo utatolewa mkuku huku vikende vinaning'inia
 
mmh hatari kwel kweli ..haupo peke yako mwaya ..mim mpaka nimuwaze yule mchumba wangu wa nursery...ndo mahanjam .....m kdng bana
bt u gt pbm ma dia broo either aujampenda na kumfil mpz wako au ni wewe tu mashetan nje yamekujaa!!!!!!!!!
 
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:

Unaomba msaada wa kusaidiwa vinavyofuata au??:angry::angry::mad2:

Kama unaona Anjelina ni wa maana sana kwa nini unakuwa na huyo... sio mpenzi wako kwanza au hujui maana ya mpenzi....!!:rip:
 
mna hatari nyie siku ndio uropoke jina la mtu mwingine katikati ya mambo, wallah kama uko na mie nakushindilia gumi la mgongoni na pambano linaishia hapo hapo siendelei tena nasusa kabisa au naenda kumalizia Jolly
 
Huu ni uzinzi ndo unakusumbua
tena ni uasherati,shame upon u,kwanini unakua na mpenzi zaidi ya m1 au hujaridhika na mpenzi wako? kama ndivyo then mtafute umpendae kwa dhati utulie nae
 
Nimetolea mfano anjelina ila kiukweli nawezakukumbuka ambako nilishapitia ndo mambo yanakuwa bambam!kwake mhh nichakwanza chakukata kiu!
 
Unaomba msaada wa kusaidiwa vinavyofuata au??:angry::angry::mad2:

Kama unaona Anjelina ni wa maana sana kwa nini unakuwa na huyo... sio mpenzi wako kwanza au hujui maana ya mpenzi....!!:rip:

inaonekana ni hivyo, unaweza kumpa huo msaada japo vifike vi 5?
 
Mimi ninaomba msaada maana mimi nikiwa na mpenzi wangu napiga cha kwanza vinavyofuata mpaka niwaze anjelina!!ndo ngoma inarudi katka track!ila nikiwa na wengine nje mama yangu hata mtoto akifungiwa bembea anabembea bila tabu sasa nini mbadala wake??Msaada!:wink2:

mkuu hiyo inaweza kusababishwa na mambo mengi tu,lakini mara nyingi inatokana na mahusiano na mapito yenu ya kila siku ktk maisha
kwamaana ya kuwa inawezekana mnakwaruzana sana, au mnakuwa kwenye halifulani inawatatiza sana, mfano mnaweza mkawa mnapendana sana lakini kila mara mnakuwa mnapishana katika vipaumbele nk,
hii inapelekea kumuona kama mpinzani wako ksaikolojia na inaharibu performance uwanjani.

lakini ukiwa na akina anjelina hauwazi chochote wala hakusumbui zaidi ya kutaka matanuzi na shughuli uwanjani.

Hii inakuathiri kisaikolojia unajijengea wigo kuwa wandani wako ni kwaajili ya kupanga maisha na kutatua matatizo yenu na mavituz ni ziada, wakati kwa akina anjelina ni kurelax kwa mavituz sana
nb: nimoja tu ya sababu
 
inaonekana ni hivyo, unaweza kumpa huo msaada japo vifike vi 5?
hivi nyamayao, huwa unapena vingi au vichache?.................(UNAWEZA PATA VIWILI KWA 5HRS, NA VINNE KWA 1HR...TAFAKARI, CHUKUA HATUA)
 
mna hatari nyie siku ndio uropoke jina la mtu mwingine katikati ya mambo, wallah kama uko na mie nakushindilia gumi la mgongoni na pambano linaishia hapo hapo siendelei tena nasusa kabisa au naenda kumalizia Jolly
hahhaahhha jaman kwan kukosea asi tumeumbiwa sisi bnadamu au?
itabid unisamehe tu na kuniuliza y umemtaja john ntakujibu cz mpak nimvutie hisia ndo acceleration inakuja..so its ma apetite wen m wth u..kwa maelezo hayo utanpga tu bado?
ahh basi wewe utakuwa aunpend........!
 
Back
Top Bottom