Mpaka hapa nashindwa Elewa Wajapan sijui waliwaza nini kwenye hizi gari

Wengi anakupita na 160kph baada ya dakika chache unamkuta kanasa nyuma ya malori au kadakwa na polisi. Kwenye mafuta anaenda 160kph na 110kph kuna tofauti kubwa hata ukiweka factors mbalimbali.
Kisayansi tujadiliane hapa kwa data. Leta zako nami nilete zangu. Hii dunia ya sasa inataka data tu.basi.
 
Kuna mtu ananasa nyuma ya lorry na alikuwa anaendesha 80kms. Yaani bado si kigezo. Uendeshaji ni kuwa smart kujua wapi uende speed 50 na wapi uende 100 au wapi uende 60 na wapi uende 140 its all about science and art all together.
Hujapata point sio?
 
Hapo kwenye kukalia tako moja nimecheka haswaa..!!
 
Ujana maji ya moto,
Anaejisifu kuendesha gari kwa speed kubwa kwa mazingira ya barabara zetu hua simtofautishi sana na anaejisifu kunywa pombe nyingi bila kulewa.
 
Dah ata mimi ukifika 120km/hr nakushusha kama ni dereva wangu. Sina haraka ya kumuona muumba wangu.
kwenye barabara za mkoa mmoja kwenda mwingine, kama barabara naijuia, break ziko vizuri na gari nimeizoea ipo kwenye damu, huwa natembea 130 hadi 140 mwisho. sijawahi kuvuka 150kph tangu nianze kuandesha magari. ila ile kutembea 80 au 100 huwa naona usumbufu na gari haileti raha. 120 kwangu ni kawaida sana.
 
Kuna gari hata wangezificha chini ya siti ukienda speed abiria utajua tu. Maana ikifika 80 tu mawimbi kidogo huko ndani utadhani mnaingia sayari ya Venus au kwenye dhoruba ya Jupiter.
 
Nilipokua kijana nilikua nakaa 160 km/hr kama cruising speed, nimezeeka sasa regardless of type of vehicle max speed is 110km/hr
Uko kama mimi mkuu,ujasiri wa ujana umeniisha kabisa...
 
Tumia limao/ndimu vitakusaidia sana kuondoa hiyo hali ya kichefu chefu. Pia epuka kujihusisha na mambo yasiyokuhusu. Kaa jikoni au chumbani pumzika. Mambo ya wanaume wengi yatakuchanganya. Kwa mfano huu uzi ungeachana nao coz unahusu mambo ya kiume.
We mwanamke yaelekea ulikeketwa na chupa, hizo stress sio za kawaida
 
Mimi nimezoea speed meter ya hivi, dereva unaiona peke yako🤣👇
 
Tumia limao/ndimu vitakusaidia sana kuondoa hiyo hali ya kichefu chefu. Pia epuka kujihusisha na mambo yasiyokuhusu. Kaa jikoni au chumbani pumzika. Mambo ya wanaume wengi yatakuchanganya. Kwa mfano huu uzi ungeachana nao coz unahusu mambo ya kiume.
Pumzisha matiti mtoto wa kike
 
Pumzisha matiti mtoto wa kike
Tumia limao/ndimu vitakusaidia sana kuondoa hiyo hali ya kichefu chefu. Pia epuka kujihusisha na mambo yasiyokuhusu. Kaa jikoni au chumbani pumzika. Mambo ya wanaume wengi yatakuchanganya. Kwa mfano huu uzi ungeachana nao coz unahusu mambo ya kiume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…