Mpaka hapa nashindwa Elewa Wajapan sijui waliwaza nini kwenye hizi gari

Speed meter/Odometer inakuwa katikati kwenye dashboard. Ili iweje sasa? Mambo mengine ya hovyo tu mi naona.

Kuna gari za Japan nmeona zina hiyo kitu. Leo nlikuwa na jamaa yangu kaomba nimsaidie kumfikisha Dodoma kwa gari yake sababu nami nlikuwa naelekea huko. Nikamwambia hamna shida kwa kuwa mimi sitopata usumbufu wa Traffic njiani

Nmeshika usukani gari lake Toyota Rumion speed meter/odometer ni kama matangazo kila mtu anaona.

Nakanyanga ikifika 160 kms/hr jamaa akiangalia pale kwenye meter anakalia tako moja anashikilia kiti huku amekodoa macho. Mwoga.anasema amewahi kimbiza sana gari akafikisha speed 100 kms/hr.

Kiukweli imenifanya nikose amani sababu kwa watu waoga wanasumbua sana. Ni bora niwe najionea mwenyewe abiria asijue.

Tulifika salama na jamaa ameshukuru. Ila wajapan waache kuwaambia watoto wao kutengeneza magari. Wawe serious. Hi designing nyingine sielewi walifikiria nini.
Naomba nikusahihishe mkuu sio gari za mjapani tu ndo zina Speedometer ambayo ipo katikati kuna gari za mzungu pia zina speedometer ipo katikati hivyo hivyo mfano mzuri ni Minicooper
images%20-%202021-07-30T122846.299.jpg
 
Speed meter/Odometer inakuwa katikati kwenye dashboard. Ili iweje sasa? Mambo mengine ya hovyo tu mi naona.

Kuna gari za Japan nmeona zina hiyo kitu. Leo nlikuwa na jamaa yangu kaomba nimsaidie kumfikisha Dodoma kwa gari yake sababu nami nlikuwa naelekea huko. Nikamwambia hamna shida kwa kuwa mimi sitopata usumbufu wa Traffic njiani

Nmeshika usukani gari lake Toyota Rumion speed meter/odometer ni kama matangazo kila mtu anaona.

Nakanyanga ikifika 160 kms/hr jamaa akiangalia pale kwenye meter anakalia tako moja anashikilia kiti huku amekodoa macho. Mwoga.anasema amewahi kimbiza sana gari akafikisha speed 100 kms/hr.

Kiukweli imenifanya nikose amani sababu kwa watu waoga wanasumbua sana. Ni bora niwe najionea mwenyewe abiria asijue.

Tulifika salama na jamaa ameshukuru. Ila wajapan waache kuwaambia watoto wao kutengeneza magari. Wawe serious. Hi designing nyingine sielewi walifikiria nini.
.
1200px-2014_MINI_Cooper_Hardtop_--_NHTSA_test_8883_-_front.jpg
 
Kiukweli imenifanya nikose amani sababu kwa watu waoga wanasumbua sana. Ni bora niwe najionea mwenyewe abiria asijue..... MANARA MKUWA WEWEEEE
 
Speed meter/Odometer inakuwa katikati kwenye dashboard. Ili iweje sasa? Mambo mengine ya hovyo tu mi naona.

Kuna gari za Japan nmeona zina hiyo kitu. Leo nlikuwa na jamaa yangu kaomba nimsaidie kumfikisha Dodoma kwa gari yake sababu nami nlikuwa naelekea huko. Nikamwambia hamna shida kwa kuwa mimi sitopata usumbufu wa Traffic njiani

Nmeshika usukani gari lake Toyota Rumion speed meter/odometer ni kama matangazo kila mtu anaona.

Nakanyanga ikifika 160 kms/hr jamaa akiangalia pale kwenye meter anakalia tako moja anashikilia kiti huku amekodoa macho. Mwoga.anasema amewahi kimbiza sana gari akafikisha speed 100 kms/hr.

Kiukweli imenifanya nikose amani sababu kwa watu waoga wanasumbua sana. Ni bora niwe najionea mwenyewe abiria asijue.

Tulifika salama na jamaa ameshukuru. Ila wajapan waache kuwaambia watoto wao kutengeneza magari. Wawe serious. Hi designing nyingine sielewi walifikiria nini.
Speed 160km/hr ni hatari sana mkuu kwa barabara zetu hizi
 
Mimi nilipokuwa kijana nlikuwa sehemu nyingine nafika 180-200 kwa sasa na uzee huu naendesha 100-160
Acha porojo na sifa za Kishamba wakati wa Ujana wako ulikuwa lini na enzi hizo gari gani ilikuwa inaenda 200KpH kwa barabara zipi na ulikuwa na uwezo wa kuimiliki acha tu kuiomba uendeshe? Anyway basi wewe ndiye Mwamba wa Maspidi Hapa JF sifa kwako Mr misifa!
 
Dada umekasirika bure tu. Miaka yetu barabara hazikuwa na traffic jam kiasi cha sasa. Tumeendesha benz zina speed mpaka 220-240 we unashangaa kusikia gari zina speed 200?nyie madogo wa siku hizi mnajisahau sana. Sikulaumu lakini.
 
Lengo la uzi ni lipi?

Si uingie kwenye web ya TOYOTA utoe maoni yako huko upate majibu yao?

Sisi ni Wajapani?
Sasa kama unajua we si Mjapan kwa nini umejibu? Si ungepita tu kushoto
 
Acha porojo na sifa za Kishamba wakati wa Ujana wako ulikuwa lini na enzi hizo gari gani ilikuwa inaenda 200KpH kwa barabara zipi na ulikuwa na uwezo wa kuimiliki acha tu kuiomba uendeshe? Anyway basi wewe ndiye Mwamba wa Maspidi Hapa JF sifa kwako Mr misifa!
Ila umemtusi bila kosa mshikaji,
Kwema mkuu!?
 
Back
Top Bottom