Mpaka Kieleweke Si Mbowe

Status
Not open for further replies.
Dada Asha,

Bibie upo sawa huku juu kabisa ya mwili?

Ila sijui utabadili jinsia?


Fair Player

Reading those two sentences of yours will make every body judge that between you and me who is an IDIOT as you have put it.

Yes, I am I idiot but you, you, your very very frustrated! Its weekend, take valium or beer and sleep...otherwise you will insult me with no apparent reasons.

If some one asks you...uliingiaje kwenye huu mjadala utajibu nini?

Asha
 

Tehe tehe, hivi haya mambo si yalishaisha jamani?
 

Mkuu ulipaswa kuanzisha topic inayohusu mimi na uongo wangu kwa Asha Abdala, lakini kichwa cha hii topic nimekiweka hapo juu ukweli uko wazi kuwa umesema uongo, kwenye hili utakesha bure ninasema hivi umesema uongo tena wa mchana!
 
Mkuu FMES naona unasisitiza kuwa Dada Asha aniulize mimi kwa kwanini nilisema Mpaka kieleweke ni Mbowe.
Mimi nakiri kuwa nilisema hivyo baada ya kuona posting yako iliyokuwa iki suggest hivyo kwenye mjadala mmoja mkali sana.
Mimi nilidhani hii issue itaisha lakini naona bado mko back and forth.
Honestly..I can recall you suggesting that and for me i listen seriously to some of you guys and thats why Asha was concerned!
Nafikiri alichukwa right approach yet wrong kwasababu si Kieleweke mwenyewe ambaye keshawahi kuhusishwa na watu flani flani ambao ni viongozi.
Hivyo basi hapo kwenye fairness ndiko kwenye point na si kuwa nani alisema nini na nani hakusema.
 
Your original accusations kwangu kuhusu Mpaka Kieleweke ni hizi hapa chini:-

wakati Chinga alianzisha uzushi kwamba Mbowe ni Philimom Michael, Bwana FMES yeye ameanzisha Mpaka Kieleweke ni Mbowe. Nimekuwa nikifuatilia mienendo na michango ya watu hawa wawili na napenda niweke wazi kwamba hakuna Mbowe kati ya watu hao wawili.


Ukweli niliousema kuhusu Mpaka Kieleweke ni huu hapa chini:-


Nafikiri kila mwenye akili hapa anaweza kuona ukweli na uongo ulipo, mkuu soma tena hizi quote mbili ukweli upo very clear, wewe ni muongo na mzandiki umenizushia uongo, sasa ni vyema ukakubali tu, halafu uanzishe topic inayokuhusu na mimi kukusemea uongo,

Lakini kwa hili la kusema nimesema Mpaka Kieleweke ni mbowe, sikusema hivyo na maneno yako hapo juu kwenye quote yako na yangu, uungwana hapa ni kukubali makosa bila conditions, wewe huwezi kunizushia maneno ya uongo, halafu tena wewe huyo huyo ukajaribu ku-dictate my response, hapana mkuu huwa hatufanyi hivyo kwenye maisha,

tukisema uongo na ikabainika kama hapa huwa tunakubali na kumaliza mjadala badala ya kujaribu ku-spin na kuzungusha maneno, hapana maneno yako very clear hapo juu kwenye hizo quotes, mwenye macho ajioneee mwenyewe, ulichonizushia na ukweli hasa niliousema!
 

Mkuu FMES naona unasisitiza kuwa Dada Asha aniulize mimi kwa kwanini nilisema Mpaka kieleweke ni Mbowe.
Mimi nakiri kuwa nilisema hivyo baada ya kuona posting yako iliyokuwa iki suggest hivyo kwenye mjadala mmoja mkali sana.


Mkuu Mushi,

Heshima yako, nimekuwekea quotes zote hapo juu, aliyekutaja kwanza ni huyo hapo juu, na post yangu unayosema imekufanya uamini kuwa Kieleweke ni Mbowe, vipi unaweza kuwaonyesha wananchi wote hapa ukweli wa maneno yako, yaani ukaonyesha hasa niliposema kuwa Kieleweke ni Mbowe kama unavyodai maana ukweli ni huo hapo juu!

Ahsante Mkuu na Karibu sana!
 
Ukweli niliousema ni huu hapa, ninaomba member yoyote wa hii forum anionyeshe mahali niliposema kuwa Mpaka Kieleweke, ni Mbowe, na hasa Ndugu yangu Mushi, hebu onyesha mkuu nilipokufanya uamini kuwa Mpaka Kieleweke ni Mbowe kwenye haya maneno chini:-



Field Marshall ES Field Marshall ES has no status. Edit
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2006

Re: Breaking News-CHADEMA wamsimamisha Chacha Wangwe .

Mkuu Kieleweke,

1. Sina uhakika kama jibu lako linajibu swali la alert iliyotolewa na Chinga, toka mwezi wa March on ishu hii ambayo imekuja kutokea kama alivyotabiri mapema,

2. Lakini anyway, mimi ninawa-support wale wanaotaka kutuletea mabadilko kwa taifa letu, bila ya kujali sauti hizo zinatokea wapi,

3. kama ni CCM au Chadema au upinzani in general, tunachotaka ni mabadiliko ya the way we do aour things as a nation, sina clear record ya Wangwe na hili, mambo ya ndani ya Chadema siyapi umuhimu sana kwa wakati huu.

4. Ingawa ushauri wangu kwako ni kwamba, waachie wengine wafanya hii kazi ya spin unayoifanya,

5. kwa sababu kitendo cha wewe kuivalia njuga inaweza kuamsha hisia kuwa una something more kuhusu hii ishu, katika siasa huwa tunamuachia katibu mkuu ndiye hasa kazi yake hii,

6. ninaweza ku-dig more lakini kwa faida ya nani huwa siamini siasa za kuwapiga vita upinzani ambao kwa kweli wanatusadia sana taifa na viongozi wahuni.

Ahsante Mkuu!
 
wewe mtu wa Zanzibar na mwanamke umeyajuaje haya? naona bora tumuamini FES na Chinga kwani hawa hawa walisema kuwa Mwanasiasa ni KITILA MKUMBO na ikawa kweli alibisha mwanzo baadae akakubali.
mimi ninamuamini sana ES.
 
Anaogopa kuonekana MPAKA KIELEWEKE kuwa ni MBOWE na amempiga vita sana Wangwe humu.
FMES mtu anaweza kudanganya kwa muda si siku zote,wengi wanajulikana humu ila tunamezea tu.wewe twanga mzigo usijali kam ni MBOWE au Mtei.
 

Mtanzania aliwahi kugusa kwa mbali kuwa Mpaka kielewe ni mwenyekiti wakamjia juu.
 
"OK

Ni,ekuelewa japo ukweli ni kuwa sikuwa ninafanya spin ila nilikuwa najaribu kuwapa watu maelezo ya ziada ili waweze kuona nini haswa kilichopo humu kwenye maamuzi haya.

Ila nimeupokea ushauri wako , thanks."
 
ES,

Ningekushauri utulie. Umeshajibu vya kutosha. Angalia unaejibishana naye. Akiulizwa maswali hajibu bali anakuja na vijembe vya kiswahili vya mtaani.

Maswali muhimu kama kwanini ameamua kuwa WAKILI wa mtu ambaye hajashtakiwa na yumo humu na ana uwezo wa kujitetea HAJAJIBU. Anakimbilia matusi/kejeli.

Ninaamini umesoma vizuri postings zake. Nasi tumesoma. Akili ni nywele watu watakuwa wameshaona na kuweza kutofautisha. Ndio maana ninasisitiza Kwa viongozi wa sampuli hii UPINZANI wana kazi kubwa sana, maana UWEZO WA KUJENGA HOJA NI SIFURI.

Sometimes ukimya kama wa Ben Mkapa ni mzuri.

Nadhani umenielewa.

FairPlayer
 
Anyways, mkuu naamini wewe ulikuwa na yako na mimi nina ya kwangu, ninaomba kusema kuwa binafsi nimefurahishwa sana na hii topic kwa sababu ukweli umejionyesha wazi ulipo, na ningeomba ibaki hapa hapa ili wananchi wajionee maana ya ukweli na uongo,

Mkuu FP,

Nimekusikia na ninaweka kalamu yangu chini sasa, ila inapokuja kwenye ukweli na mimi huwa ninakuwa very excited, kwa sababu mimi ni mmoja wa members wachache sana hapa JF, ninayetumia jina moja tu kuingia hapa, na ninasema hivyo kwa sababu ninajua tupo members wachache sana tunaoweza ku-claim hilo hapa,

Heshima ni kitu cha bure, anayetaka heshima sina wasi naye, anayetaka debate za kistaarabu kama kina Kitlia, Mtanzania, Kishoka, Gamba La Nyoka, Mwawado, Philemon Michael, Invisible, maana hawa ni watu tumetoka nao mbali sana na hii kitu ya forum, tutajadili kwa heshima lakini anayetaka uhuni na ujinga sina tatizo,

Na niseme wazi tena kuwa, sina shida ya ID ya mtu yoyote, lakini atakayenichokoza kwenye hizo lines za ID, hata siku moja sitampa free pass, kuna wakati nje ya hapa kidogo mwana mama mmoja apoteze kazi yake kwa sababu kuna member mmoja hapa nilimshinda hoja akaamua kudhani mimi ni yule dada na kumshambulia mpaka kazini kwake, ile pain ya yule dada ndiyo iliyonifanya kuamua kutafuta majina ya kweli ya wale wote wanaohusika na mchezo wa ID lines, hapa mpaka nikayapata, na ndio maana hata majuzi nilikwenda Columbus kwa siri na kuondoka kwa siri pia,

Ninategemea kujadili ishus hapa kwa kuheshimiana hilo sina tatizo nalo hata siku moja, ninategemea kuwa kila mtu hapa ataheshimiwa, I am here to stay na commitment yangu kwa hii forum ni ile ile, sheria iwe ni kwa wote na uhuru wa mawazo ya kila mtu uheshimiwe,

Kwa hayo mkuu FP ninaweka kalamu chini na I Love JF!
 
Yeah,

Saa nyingine nina sema kwanini Ben Mkapa hajibu hoja?, baadaye nikisoma baadhi ya wananchi wanavyoandika humu; ninaelewa kwanini.

Mimi tatizo langu na Asha ni dogo sana, HAJIBU HOJA anakimbilia MIPASHO. Hii ni forum huru ukianzisha mada utakutana na sisi tulio huru na kukuuliza ki CHANYA. Sasa I am becoming crossy when I get a blah blah na mipasho badala ya HOJA HALISI.

Hilo tu. Zaidi naheshimu wana Chadema wengi tu humu. Ila kama Dada Asha ni ICON ya viongozi wa Chadema basi ndugu yangu Mnyika, ZITTO, KITILLA na mzee Slaa hamna viongozi. Kama ni mwanachama wa kawaida basi sio mbaya; ila ana safari ndefu sana ya kuwa kiongozi.

Asante

FP
 
Watu kama Asha huwa tunawaangalia tu hapa wanakosa size yao ya vidole juu kama tiara.....Inv naomba muwekee Bi asha jukwaa la mipasho atutolee bugudha hapa
 


Sawa! Mi nina safari ndefu lakini nitafika tu. Ila ujue mkija na hoja mi nnnatoa hoja. Mkiwa na ill motives nami nahamia kwenye mipasho. Mbona sijakusikia ukiwakemea wanachama wa chama chenu wakina Mgagagigikoko alias Chinga, Kada Mpinzani alias Zemarcopolo, Kubwa Jinga, Mugongo Mugongo wakileta mipasho hapa ukiwakemea? Au mkuki kwa nguruwe tu! Kwa taarifa yako mipasho yangu itaendelea kuwa mtambo wa kurekebisha tabia za watu kama hao humu ili JF yetu ibaki na mijadala yenye hoja za kuheshimiana. Hawa wanapoanza kuwasema vibaya wakina Mbowe, Dr Slaa, Zitto, Kitila na hata wewe mimi lazima nitaingilia kati. You have to live with it kwa kweli. Halafu hebu soma maneno yako uliyoniandikia wakati mimi sikuanza mipasho na wewe, very offensive. Halafu hujioni kabisa.

Mods pelekeni hii kwenye udaku jamani message delivered. Turudi kwenye hoja sasa

Asha
 

Mchungaji bwana.....hata kubashiri haujui..Mie ni mmojawapo wa hao uliowataja na hakuna Id yangu
 

Halafu unanichonganisha kwa kina Zitto, Mnyika na Kitila ila nipewe onyo kama wakati ule eeeeh. Sawa bwana


Asha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…