Ukweli niliousema ni huu hapa, ninaomba member yoyote wa hii forum anionyeshe mahali niliposema kuwa Mpaka Kieleweke, ni Mbowe, na hasa Ndugu yangu Mushi, hebu onyesha mkuu nilipokufanya uamini kuwa Mpaka Kieleweke ni Mbowe kwenye haya maneno chini:-
Field Marshall ES Field Marshall ES has no status. Edit
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2006
Re: Breaking News-CHADEMA wamsimamisha Chacha Wangwe .
Mkuu Kieleweke,
1. Sina uhakika kama jibu lako linajibu swali la alert iliyotolewa na Chinga, toka mwezi wa March on ishu hii ambayo imekuja kutokea kama alivyotabiri mapema,
2. Lakini anyway, mimi ninawa-support wale wanaotaka kutuletea mabadilko kwa taifa letu, bila ya kujali sauti hizo zinatokea wapi,
3. kama ni CCM au Chadema au upinzani in general, tunachotaka ni mabadiliko ya the way we do aour things as a nation, sina clear record ya Wangwe na hili, mambo ya ndani ya Chadema siyapi umuhimu sana kwa wakati huu.
4. Ingawa ushauri wangu kwako ni kwamba, waachie wengine wafanya hii kazi ya spin unayoifanya,
5. kwa sababu kitendo cha wewe kuivalia njuga inaweza kuamsha hisia kuwa una something more kuhusu hii ishu, katika siasa huwa tunamuachia katibu mkuu ndiye hasa kazi yake hii,
6. ninaweza ku-dig more lakini kwa faida ya nani huwa siamini siasa za kuwapiga vita upinzani ambao kwa kweli wanatusadia sana taifa na viongozi wahuni.
Ahsante Mkuu!