William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Hehe heee eti nimekosa period. Unaijua period wewe!
1. Umesema kwamba post yangu ya kwanza humu nilitukana wanaCCM. Mwongo kabisa, na ushahidi uko humu humu. Bonyeza tu all my post uangalie post yangu ya kwanza.
2. Umesema mimi nimetoa matusi makubwa kwa Chinga na ameanza kuzungumzia oohh magoro ooh Kikwete ooh whatever, sasa vuta kumbukumbu humu uone ni nani alianza matusi kwa Chinga utakuta sio mimi. Uwongo mwingine.
3. Unakanusha kwamba wewe ndio hukuanza siku nyingi zilizopita nadhani kwenye mjadala wa ile thread ya Chama Cha Mafisadi au nyingine kuanza kusema kwamba unajua Asha Abdala ni nani. Uongo mwingine. Ukweli ni kuwa wewe ndiye uliyeanza na umefanya hivyo takribani mara tatu.
4. Umesema kwamba CHADEMA sio threat kabisa kwa CCM. Uongo mwingine
Kwa hiyo yanapokuja masuala ya Asha Abdala wewe ni muongo muongo tu. Unakuwa mkweli unapozungumzia dataz za mambo unayojua tu. Nakuheshimu katika michango yako mingine humu. Lakini katika hili unajaribu kurusha ngumi kwenye upepo!
Asha
Your original accusations kwangu kuhusu Mpaka Kieleweke ni hizi hapa chini:-
Quote:
wakati Chinga alianzisha uzushi kwamba Mbowe ni Philimom Michael, Bwana FMES yeye ameanzisha Mpaka Kieleweke ni Mbowe. Nimekuwa nikifuatilia mienendo na michango ya watu hawa wawili na napenda niweke wazi kwamba hakuna Mbowe kati ya watu hao wawili.
Quote:
Field Marshall ES Field Marshall ES has no status. Edit
JF Senior & Premium Member Join Date: Wed Apr 2006
Re: Breaking News-CHADEMA wamsimamisha Chacha Wangwe .
Mkuu Kieleweke,
Sina uhakika kama jibu lako linajibu swali la alert iliyotolewa na Chinga, toka mwezi wa March on ishu hii ambayo imekuja kutokea kama alivyotabiri mapema,
Lakini anyway, mimi ninawa-support wale wanaotaka kutuletea mabadilko kwa taifa letu, bila ya kujali sauti hizo zinatokea wapi, kama ni CCM au Chadema au upinzani in general, tunachotaka ni mabadiliko ya the way we do aour things as a nation, sina clear record ya Wangwe na hili, mambo ya ndani ya Chadema siyapi umuhimu sana kwa wakati huu.
Ingawa ushauri wangu kwako ni kwamba, waachie wengine wafanya hii kazi ya spin unayoifanya, kwa sababu kitendo cha wewe kuivalia njuga inaweza kuamsha hisia kuwa una something more kuhusu hii ishu, katika siasa huwa tunamuachia katibu mkuu ndiye hasa kazi yake hii, ninaweza ku-dig more lakini kwa faida ya nani huwa siamini siasa za kuwapiga vita upinzani ambao kwa kweli wanatusadia sana taifa na viongozi wahuni.
Ahsante Mkuu!
FMES:
Haya baba, nasubiri kwa hamu kama ulivyosema. I called for piece but it seems you wish is to have pieces!
Weekend njema
Asha
Ukweli niliousema kuhusu Mpaka Kieleweke ni huu hapa chini:-
Mkuu ahsante kwa ujumbe, ila mimi ni mtu mzima na mstaarabu huwa nina-stick na one ishu at a time, huwa sianzishi one na kurukia two kabla ya kumaliza na one kwanza.
ES sauti ya umeme!
Mkuu wewe jali ya kwako ya kwangu niachie mwenyewe,
Mkuu wewe jali ya kwako ya kwangu niachie mwenyewe, mimi sijali ya kwako ninajali ya kwangu na ninasema kwa uhuru maana mimi si kibaraka wa mtu hapa, wewe endelea na hamsini zako na ninashika za kwangu, sasa tatizo liko wapi mkuu?
Topic sikuanzisha mimi, na wala kusema jina la mtu sasa kama vita nilivyolazimishwa bila ya kuviomba, atakayevimaliza ni mimi tena kwa style yangu na time yangu, siwezi kuharakishwa hakuna haraka!
Mkuu FMES,
Nimeipenda hii, eti unaenda kusafisha nyumba ya mwenzako wakati yako imejaa matope?
Haya ndio matatizo ya kuchunguana who is who. Kila mtu ana uchaguzi - kama anataka ajulikane au la - naomba wale wenye uwezekano wa kuweza kumtambua mwanachama iwe ni siri yao na wasianike ukumbini.
Ninataka kumuuliza Da Asha yeye amekuwa msemaji wa Mbowe?

- naomba wale wenye uwezekano wa kuweza kumtambua mwanachama iwe ni siri yao na wasianike ukumbini.
Bikirembwe,
Heshima mbele mkuu, tunasema tena humu ndani kuna watu wenye tabia ya kukimbilia lines za ID, wanapozidiwa hoja sasa tulichofanya ni kwamba tuna orodha ya hao watu, na tunachosema ni kwamba kwanza tume-extend sasa na tutamlinda anybody tutakayeona anaonewa on those lines kwa kufichua pia ID za wale the aggressors kwa sababu tunazo, kwenye hili hakuna compromise kwa sababu ni suala la self-defense, kwa sababu kwa kawaida watu wa namna hii huwa wana tabia ya kuwa na majina mengi humu, moja hulitumia kwa kujifanya wastaaarabu halafu mengine huyatumiwa kuwatukania watu wengine na hata kugusa hizo lines za ID, and then hugeuka na kujifanya wastaarabu sana na majina mengine, tunawajua vizuri sana hatuna tatizo na hilo, lakini kwa wale wenye jina moja tu kama mimi tutajilinda kwa nguvu zote bila kuogopa wala kujali nani yuko upande wa pili!
Tuliamua haya baada ya pain nyingi sana zilizosababishwa na hawa watu, in fact JF tumepoteza members wengi mashururi kwa tabia hii, na mimi binafsi hii tabia ninaifahmu kwa karibu sana kwa sababu kidogo im-cost kazi mwanamama mmoja ninayemfahamu ambaye mmoja kati ya hawa wajinga alirusha jina lake hapa baada ya mimi kumzidia hoja hapa, ni mpaka nilipomtishia kumpa mkewe habari zake za kuwa na hawara nje ya mkewe na nikamtajia hata jina ndio aka-back off, na yeye kuomba radhi kazini kwa yule dada kwa sababu jamaa aliwahi kufanya kazi pale zamani kabla ya huyu dada,
Sasa kwenye hili I am dead serious, kwamba tuendele kujadiliana kwa misingi ya sheria za JF kwa kuheshimiana na kus-tick kwenye mistari ya hoja za kisiasa hasa kwa viongozi wanaohusika, lakini asiyetaka kuelewa hili ni langu mimi ndiyo nimelivalia njuga ninasema kuwa ni langu personal, otherwise hawezi kutajwa mtu hapa bila sababu huwa sio tabia yetu, na kwa mara ya kwanza ninashukuru kupata nafasi ya kuweza kuliweka wazi hili hapa.
Lakini ujumbe wako umesikika na umefika.
Ndio. Na msemaji wako wewe pia. We ni msemaji wa ndani katika hili?

Huu ujumbe haukuhusu nimemtumia Bikirembwe sio wewe, mkuu mbona huwezi kujali yako?
Bado kama nilivyoahidi hii topic haijaisha ninaendelea nayo kwa nafasi yangu na my pace, pole pole huwa hatuna haraka, vipi sasa the mighty akashindwa kuhamisha topic asiyotaka, yaani makubwa haya!.
vipi kwani haya yanakuhusu?
Tuliamua haya baada ya pain nyingi sana zilizosababishwa na hawa watu, in fact JF tumepoteza members wengi mashururi kwa tabia hii, <--->
Naoana at last imehama! Sasa uache vitisho tuendelee kukata ishu.