Baada ya maneno ya mtu huyu, FMES kama kweli hakuwa na msimamo wa kudhani kwamba Mpaka Kieleweke ni Mbowe hakujitokeza kuweka sawa, badala yake akaendelea. Na hii ikafanya huo uzushi uaminike zaidi mpaka wakina Jmushi nao wakaingia katika huo uzushi. Kwa hiyo FMES alianzisha uzushi huo by implication na heshima yake katika hii forum ikatumika kuhalalisha uzushi huo. Kama mimi kwa kusema maneno haya nimesema wongo, basi namuomba radhi bwana FMES.
Mkuu ni kweli kabisa maneno uliyonizushia ni uongo tena wa mchana maana ukweli wote upo hapo juu, mimi sio kazi yangu hapa JF kuweka sawa maneno ya majina ya watu, siyo kazi yangu kabisaa, again kwenye hili sioni ukweli!
2. [
SIZE="3"]Yeye kwa kusema anafahmu kwamba mimi si Asha, ni mtu mwingine basi anapaswa kuniomba radhi pia. Angekuwa amefanya mara moja nisingitoa mwito wa yeye kuniomba radhi lakini hii ni mara ya Tatu bwana FMES anarudia maneno hayo. Ndio maana nikaomba mods wamruhusu aseme Asha Abdala ni nani kadiri ya anavyodhani yeye ili uzushi wake uweze kubainika. Nakuheshimu sana FMES kwa nondo zako hapa lakini unachonikera siku zote ni tabia yako ya kujifanya unajua ID za watu, ni ishara ya ya kushindwa hoja na kuzua vioja. Je, ni uzumbukuku ulimwengu uko huku au ni kuteleza tu kwa kawaida ndugu yangu?[/SIZE]
1. Mara ya kwanza kwa kutumia hili jina ulisema kuwa umefanya uchunguzi wako wa sayansi na kugundua kuwa sisi wanachama wote wa CCM tuna some-type of matatizo fulani ya akili, nikakuambia kuwa knowing nani aliyeko nyuma ya hilo jina nimesikitishwa sana na maneno haya, ukakubali makosa topic either ikahamishwa au ikafutwa, lakini after maneno yangu topic haikuendelea, lakini sikusikia ukilalama kuwa nimekuzushia,
2. Mara ya pili, ulimtukana sana Chinga kwa jina hili, ikafika mahali nikaingilia tenma na kusema vile vile tena kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako nimesikitishwa sana na matusi ya nguoni kwa Chinga, kama kawaida hukujibu yakaisha.
3. Na jana yes nimerudia tena uliponirushia maneno yako haya ya kizushi, ushahid uko hapo juu, nikarudia tena maneno yangu kuwa knowing aliyeko nyuma ya jina lako la bandia nimesikitishwa sana na bado ninarudia kuwa nimesikitishwa sana, kwa kusema haya sijavunja sheria yoyote hapa JF, na ni haki ya Mtu yoyote aliye member hapa kusema hivyo, kwa hiyo siwezi hata kwa bunduki kukuomba radhi kwa hilo kwa sababu sijavunja sheria yoyote ya JF, lakini wewe umeivunja sheria ya JF kwa kunisignizia maneno ambayo sikuyasema, na ushahidi wangu upo hapo juu tena very clear!
4. Sijawahi kujifanya hata siku moja kuwa ninajua ID za baadhi ya members hapa, ila huwa ninasema ukweli kuwa ninazijua, sasa je kwa kusema hivyo nimevunja sheria ya JF? Eti ninakukera kwa kusema hivyo na kwamba mimi ni ndugu yako? Uzumbukuku au kuishiwa hoja? haya matusi yote ni kwa sababu tu ya kunizushia uongo ambao ninaukataa na nimetoa ushaidi wangu hapo juu? Msimamo wangu ni ule ule mkuu member yoyote akinitafuta kwenye angle za ID au personal mimi ni lazima nikujibu na ndiyo nianchofanya siku zote hapa,
sijawahi kumchokoza mtu ila ukinichokoza ni lazima nikujibu, kama unakerwa tehn it is too bad kwa sababu pamoja na kukerwa kwako mimi siendi kokote nipo hapa mpaka mwisho, sasa kama hupendi style yangu ya hoja siwezi kukusaidia kwenye hilo, ila nilitegemea kuwa utakerwa na jinsi ninavyoshambuliwa kila wakati na maneno ya watu kudai wanaijua ID yangu, lakini wewe umekerwa na majibu yangu kwa wanaonishambulia! that is wasup! na nimekusikia loud and clear!
Halafu unazua hoja ya kibaguzi ya kuwatisha watu hapa kuwa hii thread nimeanzisha ni suala la Mbowe na CHADEMA wasiguswe JF. Wakati nawatetea wengine mbona hukusema haya? Wakati namtetea Lowassa mbona hukusema haya? Nimeanzisha hii thread kwa ajili ya kumtetea Mpaka Kieleweke na kuteteta standard za JF yetu tukufu. Niite PRO wa JF au wa Mpaka Kieleweke kama ukipenda lakini ukweli utasimama.
Hii topic umeianzisha kwa sababu tu ya hizo propaganda zenu huko, naona mmeona kuwa mnakwama hapa sasa dawa ni kujaribu kunishambulia mimi wakati mimi wala sina mpango, siasa ya bongo ninaijua nje ndani na ukweli wote wa kuhusu Wangwe na huko ndani ninao siku nyingi sana, ndio maana sielewi hizi spin ni za nini wakati ukweli uko wazi kabisa, ninarudia tena hii ni ujumbe wa kutaka kunitisha nisiiguse Chadema na Mbowe, kwanza mimi huwa sipendi kujiingiza kwenye siasa za vyama maana nilishaona siku nyingi matokeo yake ni haya upuuuzi tu tena big time,
Ni mimi ninayemtetea Mbowe hapa kila siku, sasa leo tena nigeuke na kutaka kumtaja na the rest of the story ili iwe nini? Mbowe au Chadema sina hata sababu, lakini ninasema hivi ishu zao zikija hapa nitazikata kama kawaida bila ya kuogopa mtu, kama vile ninavyokata ishus za taifa au CCM,
Ni kweli sana kuwa ukweli unasimama kuwa uliyonizushia ni uongo tena wa mchana, mimi I could careless wewe ni pro wa nani, lakini one thing huwezi kunifanya na mimi niwe pro wa Chadema na Mbowe, forget that!
Kuna thread nimesema kuwa Lowassa na Rostam, wana vibaraka wao hapa, ile topic ndiyo hasa chanzo cha hii thread ninaamini 100%, niliposema kuwa ninawajua na nitawasema hapa, lakini naomba nirudie tena kuwa nikitaka ninaweza kuwasema wazi hapa hao vibaraka kwa sababu ninawajua na wala siogopi mtu, ila sijaamua kuwasema kuwasema lakini ninaweza kuwasema anytime na wao wanajijua sana,
Mkuu ninaomba kumaliza kwa kusema hivi kwanza mimi sio ndugu yako kama ulivyosema, halafu mimi ni mtu mzima sijawahi hata kufungwa jela au kuiba kwa mtu kwa hiyo ninayo akili ya kutosha kujua sheria za JF zinavyosema, na sijawahi kuzivunja hata siku moja, pia ninashukuru sana kwa kuweza kuelewa rangi zako mapema, yes hizi wiki mbili zilizopita umenishangaza sana sikutegemea kabisaa, lakini ndio uzuri wa JF, siku zote ni elimu ya bure, ukweli nimeuweka wazi kuhusu maneno uliyonizushia,
wewe sio wa kwanza hapa JF na hutakuwa wa mwisho kunizushia, lakini naomba ukumbuke one thing kuwa kwanza siendi kokote, halafu siogopi wala kutishika, halafu huwa siamini kabisa maneno ya kuombana samahani, mimi ni mtu black and white, one strike ndiyo ukweli wenyewe hizo ndizo sheria nilizojifunza melini, huwa hatusubiri mara ya pili, huna sababu yoyote ya kuomba radhi kwa kunizushia maneno ya uongo kwa sababu siiihitaji kabisaa,
kwa hayo nimemaliza nakutakia safari njema, kama ni message kama unavyosema, mimi sio mtoto mdogo kwa sababu ninajua kuwa ukiona moshi maana yake chini kuna moto kwa hiyo sina wasi wasi kwa sababu mpaka kunianzishia thread kwa sababu za uongo na uzandiki, maana ningeanzisha mimi hii thread kweli hiyo mesage yako ingekuwa imefika, lakini thread umeanza wewe halafu unadai messaage sent, labda kuna something nina-miss hapa, msimamo wangu ni ule ule hauwezi kubadilishwa na mtu yoyote kwa sababu sivunji sheria, na wembe wangu kwenye kukata ishu ni ule ule hautabadilika hata siku moja, ukinichokoza nje ya sheria za JF, kama kawaida ninakushukia tu huko huko, ikija ishu ya Chadema au Mbowe kama kawaida ukweli ukweli na uongo ni uongo, sina kufikiria kwenye hili , kama unakerwa ninapojibu mapigo sina la kukusaidia lakini sitaacha kujibu mapigo, ninakuja hapa kukata ishu za taifa that is all sijali nani wala chama gani fimbo zangu ni zile zile!
Ahsante Mkuu!