Mpaka Kifo Kitakapo tutenganisha - Mpango wa Dalia Dippolito kumuua mme wake

Mkuu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umenifanya nicheke sana kumbe hata wewe unamaneno sana

Ahahaaaa endelea kufurahi mwaya, maneno yangu si saana ni kiasi cha mboga tuu 😜.
 
demu anaitwa delila,delela sijui delaila,unadate naye!!!!!unajuaje kama wewe labda ndio samsoni wa pili[emoji19][emoji19][emoji19].

ilifaa uangalie uzuri wake na kazi anayoifanya kujua kama ni yeye yule amekuja tena karne ya 21.
 
Hakuna watu wenye roho ngumu kama MAKAHABA......Yaani kukuua kwao sio issue.
Sababu washaondokewa utu.Ni mtu katili pekee ndie awezae uza mwili wake.
Ugumu wa maisha haumpelekei mtu kuwa kawaida ni hulka kuna watu Wana maisha magumu Sana Kuzidi kahaba na still wamesimama kwenye imani na wanapambana bila kukata tamaa.
Hakuna maisha magumu Kama kula mara 4 kwa wiki. Yaani unaruka siku moja kula unakula siku inayofata ili usife njaa sawa na mtu aliyefunga.
Kahaba na ombaomba ndio watu wanaoingiza pesa nyingi Sana kwa siku. Why awatajiriki jibu ni kesho nitapata!
 
Nimeusoma Uzi wako huu, kwa kweli umenihuzunisha sana. Umenikumbusha matukio mawili yaliyowakuta vijana ambao walikuwa honest, polite, generous, considerate, daaa!!! Walichofanyiwa na wake zao kwa kutumia advantages tajwa hapo juu!! Acha tu Mkuu, they ended up in a very strong depression and consequently, committed suicide!!
 
Wema uwa wanaangukia mikononi mwa wabaya, hata decent girls end up in the hands of bad boys, because bad guys know what to say and do at the right time.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…