sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,419
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmmhh......mie hapa napita tu, nawakumbusha kuwa Mungu sio mzungu!!
Sharon Naylor, ambaye ni mtunzi wa kitabu cha Your Special Wedding Vows (Kiapo Maalum kwa Ndoa Yako) anasema amewahi kusikia bibi harusi akiapa siku ya ndoa yake kwa kusema, hadi pale muda wetu wa kuwa pamoja utakapoisha. Anasema kiapo kama hiki ni sahihi kwani kuapa kwa kitu ambacho huna uhakika wa kukiweza au ambacho unajua siyo kweli, ni kujitendea haki. Mabadiliko haya katika kuapa siku ya ndoa yanaashiria kwamba, taasisi inayoitwa ndoa inaendelea kupambana na mabadiliko ambayo hatimaye yataiporomosha na watu wataanza kuishi kama wanyama wengine. Inaelezwa pia kwamba, huenda ni kutokana na ubabe wa wanaume ambao umewabadili wanawake na sasa wameanza kuitazama ndoa kama kifungo .
Kiapo kinaokoa ndoa nyingi. Kama si kukumbuka kuwa divorce kwangu siyo option; leo hii ningekuwa single au kwenye ndoa ya pili. Lakini kuna wakati nili/tulikuwa wavumilivu ingawa ndoa ilikuwa katika breaking point. Na hii ni karibu kwa kila wanandoa hasa miaka 6 kwenda chini wanafikia kipindi wanajiuliza kwa nini tuendelee kuishi pamoja. Sasa kama kuna mbadala, yaani divorce, basi ndoa lazima itavunjika. Kama mnaamini kuwa hakuna alternative basi mtafanikiwa kupita hiki kipindi na mapenzi kuanza upya kama wakati wa uchumba. Lol.
Suala la kujiuliza kuna faida na hasara gani kwa watu ku divorce?; kama unaona hasara ni kubwa basi vumilia kwani matatizo mengi ya ndoa ni ya muda mfupi yanapita. Yanatokana na fact kuwa mnatoka familia tofauti lazima itachukuwa muda ku adjust. BUT hii ina work kama ndoa ili base kwenye love na si kingine.
tutaishi kwa shida na raha, uzima na maradhi, lakini ukileta jeuri na kibri nakutafutia nyumba ndogo ujinga ukutoke.
Thread hii ni dedication kwa MadameX ambaye anatafuta mume wa kumuoa baada ya kuchoshwa na masharobaro
Mzee mzima, Mtambuzi , asante for dedication. Baada ya kusoma hili, nimeamini kuwa siko peke yangu kwenye hili hata huko US wameshaliona kuwa mapenzi ya ukweli hakuna ya nini kudanganya na viapo vya uwongo. Ni bora kuweka uwazi from the start.
nivea bado huamini tu kwamba wanandoa hufikia mahali wakabwaga manyanga?nitang'ang'ana hadi kifo kinitenganishe Mtambuzi na alichokiunganisha Mungu kamwe mwanadamu asikitenganishe
Mtambuzi unataka nikauze haka kapete kangu au we mtambuzi weeeeeeeeeeeeeeeeeeeenivea bado huamini tu kwamba wanandoa hufikia mahali wakabwaga manyanga?
Ni vyema kila mwanandoa ausikilize moyo wake akiona hayawezi basi hakuna sababu ya kung'ang'ania, mahakama inayo mamlaka ya kuvunja ndoa na maisha yakaendela kama kawaida.........................
Mie nitakuwa dalali ili nipate cha juu, we sema tu unataka shing ngapi.......................LOL