Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.