Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo yote ya kitaifa nchini yanafanyika kwa mujibu wa sheria na sio kwasabb kibaka au tapeli wa siasa ana bwekabweka 🐒Wakati huo majambazi ccm watakuwa wameshaplot mbinu nyingi za kuiba kura. Mgombea uraisi atakuwa ameshateua mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi, amewaita wakurugenzi wote ikulu na kuwapa masharti, kofiq, tshirt na khanga zitagaiwa kwa maskini wote..nk
Hawa CHADEMA watafika wamechoka sana Octobermbaya zaidi matapeli ndiyo wamepewa jukumu la kuomba pesa
ImbecileMambo yote ya kitaifa nchini yanafanyika kwa mujibu wa sheria na sio kwasabb kibaka au tapeli wa siasa ana bwekabweka 🐒
Ni mipango mipya ya UPIGAJI katika safari ya kiitwacho NO REFORMS NO ELECTIONS.....Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Jirani yangu Macha ameniambiwa mh.Lema huwa anapandwa na huzuni na ghadhabu sana pale MKEKA wa kubeti unapomchanikia.....pale New Africa ni maarufu sana kwa kucheza.....umeonaee,
we mtu kama lema na heche wanabet vile,
waache kweli kupiga pesa zinazoingia kitapeli namna ile?🐒
ana pigaga mayowe sana,Jirani yangu Macha ameniambiwa mh.Lema huwa anapandwa na huzuni na ghadhabu sana pale MKEKA wa kubeti unapomchanikia.....pale New Africa ni maarufu sana kwa kucheza.....
Hv waonaje kibaka akawa babako???Mambo yote ya kitaifa nchini yanafanyika kwa mujibu wa sheria na sio kwasabb kibaka au tapeli wa siasa ana bwekabweka [emoji205]
Hongera sana mrs.both Lema and Hecheumeonaee,
we mtu kama lema na heche wanabet vile,
waache kweli kupiga pesa zinazoingia kitapeli namna ile?[emoji205]
Lengo la michango ni kwajili ya matumizi ya chakula na vinywaji kwaajili ya viongozi, mbona hilo liko wazi gentleman?Mleta mada anazidi kudhihirisha upungufu wa maarifa na akili alio nao.
Tupo February lakini punguani limekwishaota kuwa CHADEMA mpaka mwezi Oktoba itakuwa imefanikiwa kukusanya tu michango. Limeshindwa kuwa hata reasoning ndogo tu ya kujiuliza, hiyo michango inalenga kufanikisha nini! Kama suala la michango litafanikiwa, kwa nini yale yalitokusudiwa kugharamiwa na hiyo michango, yasifanikiwe!! Hiyo ndiyo inadhihieisha kuwa huyu ni punguani aliyeishiwa kila kitu kichwani, akabakiwa na uwezo wa kusoma na kuandika pekee.
Analeta riwaya ndefu iliyojaa upuuzi mtupu!!
Masta, nje ya Chadema issues, una contents zingine za kupost Gentleman??Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu 🐒
Mungu Ibariki Tanzania.
Kwa Chadema hii kwa kweli acha tuwachangie tu. Mimi pia nimewachangia na kila mwisho wa mwezi kuna pesa nitakuwa nakatwa. Angalau hawa wana kitu. Siyo mijizi ya CCM tunaichangia inaenda kuhonga na kuiba kura.Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.