Pre GE2025 Mpaka kufikia Oktoba 2025, CHADEMA watakuwa wamefanikiwa kutangaza njia za kujipatia pesa tu na sio kutafuta kura na kushinda uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mambo yote ya kitaifa nchini yanafanyika kwa mujibu wa sheria na sio kwasabb kibaka au tapeli wa siasa ana bwekabweka πŸ’
 
Sasa Mkuu huoni ndiyo vizurii mtakuwa mnashinda kirahisi... Wakati wao wanaomba omba..
Gentleman,
huo ni ukweli mtu wa wazi kwa waTanzania wote,

masuala ya uzuri na urembo muyafanye ndani ya chama chenu tu πŸ’
 
Ni mipango mipya ya UPIGAJI katika safari ya kiitwacho NO REFORMS NO ELECTIONS.....
 
umeonaee,
we mtu kama lema na heche wanabet vile,

waache kweli kupiga pesa zinazoingia kitapeli namna ile?πŸ’
Jirani yangu Macha ameniambiwa mh.Lema huwa anapandwa na huzuni na ghadhabu sana pale MKEKA wa kubeti unapomchanikia.....pale New Africa ni maarufu sana kwa kucheza.....
 
Jirani yangu Macha ameniambiwa mh.Lema huwa anapandwa na huzuni na ghadhabu sana pale MKEKA wa kubeti unapomchanikia.....pale New Africa ni maarufu sana kwa kucheza.....
ana pigaga mayowe sana,

Heche hua anaenda kujifungia chooni analia weee mpaka anakonda ndio anajitokeza, halafu anakua mkali balaa ukijaribu kuhoji kama kapigwa na muhindi πŸ’
 
Mleta mada anazidi kudhihirisha upungufu wa maarifa na akili alio nao.

Tupo February lakini punguani limekwishaota kuwa CHADEMA mpaka mwezi Oktoba itakuwa imefanikiwa kukusanya tu michango. Limeshindwa kuwa hata reasoning ndogo tu ya kujiuliza, hiyo michango inalenga kufanikisha nini! Kama suala la michango litafanikiwa, kwa nini yale yalitokusudiwa kugharamiwa na hiyo michango, yasifanikiwe!! Hiyo ndiyo inadhihieisha kuwa huyu ni punguani aliyeishiwa kila kitu kichwani, akabakiwa na uwezo wa kusoma na kuandika pekee.

Analeta riwaya ndefu iliyojaa upuuzi mtupu!!
 
Lengo la michango ni kwajili ya matumizi ya chakula na vinywaji kwaajili ya viongozi, mbona hilo liko wazi gentleman?

Yaani matapeli na vibaka wa siasa waache kutapeliwa pesa kwaajili ya kubeti na matumizi yao binafsi na familia zao ambazo zinapitia kipindi kigumu cha kiuchumi, eti wababaike na unavyofikiria wewe?

kwamba wanakupenda sana right?
halafu shida zao nani atatue kama sio pesa yakokidogo wanayokutapeli?

ama kweli wajinga ndio waliwao,
yaani unashupaza shingo kabisaa kutapeliwa?πŸ’
 
Masta, nje ya Chadema issues, una contents zingine za kupost Gentleman??
 
Hv waonaje kibaka akawa babako???
ombaomba pesa kwa utapeli ni fedheha sana kwa familia, hali ya kua ana nguvu ya kufanya kazi na kujitegemea kiuchumi, inasikitisha sana mtu mzima kua na tabia mbaya kiasi hicho πŸ’
 
Masta, nje ya Chadema issues, una contents zingine za kupost Gentleman??
relax and calm down gentleman,

check content za wadau wengine itakusaiadia sana na kuacha kubabaika πŸ’
 
Kwa Chadema hii kwa kweli acha tuwachangie tu. Mimi pia nimewachangia na kila mwisho wa mwezi kuna pesa nitakuwa nakatwa. Angalau hawa wana kitu. Siyo mijizi ya CCM tunaichangia inaenda kuhonga na kuiba kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…