weka vizur hilo gentleman kwamba tayari umetapeliwa na utaendelea kutapeliwa kidigitali na matapeli na vibaka wa kisiasa πKwa Chadema hii kwa kweli acha tuwachangie tu. Mimi pia nimewachangia na kila mwisho wa mwezi kuna pesa nitakuwa nakatwa. Angalau hawa wana kitu. Siyo mijizi ya CCM tunaichangia inaenda kuhonga na kuiba kura.
Pumba tupuNi wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu π
Mungu Ibariki Tanzania.
CCM hawana amani wakiamka Chadema, wakila chakula wanawaza Chadema, Wakienda kulala ni Chadema, kweli Chadema ndo chama chenye uwezo wa kuitingisha na kuiangusha CCMNi wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu π
Mungu Ibariki Tanzania.
Babujee na Amrisar wa upanga west.... wanamfahamu Heche...alishawahi kuweka gari...hao vijana wa kidosi wakailamba....ana pigaga mayowe sana,
Heche hua anaenda kujifungia chooni analia weee mpaka anakonda ndio anajitokeza, halafu anakua mkali balaa ukijaribu kuhoji kama kapigwa na muhindi π
Ww ndyo uliepanicdon't panic gentleman,
relax and calm down [emoji205]
Yes na ninafurahia kutapeliwa huku. Nitaendelea kutapeliwa sababu nitaendelea kuchangia. Chadema hii imekusaidia na wewe kila baada ya masaa unafungua uzi kuhusu CDM. so shukuru sana ujio wa Lissu bila Lissu usingekuwa na cha kuandika.weka vizur hilo gentleman kwamba tayari umetapeliwa na utaendelea kutapeliwa kidigitali na matapeli na vibaka wa kisiasa π
No reforms no electionGentleman,
thr will be free and fair elections in October, regardless of political bandits setbacks π
Wewe huoni itakuwa faida kwako?Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu π
Mungu Ibariki Tanzania.
hakuna faida gentleman but ni Ukweli kwa waTanzania kutambua matapeli na vibaka wa kisiasa nchini,Wewe huoni itakuwa faida kwako?
Hicho unachokipigia hujui ni kitu gani siku zote mada zako zinapingana.
Hizo propaganda hazina nafasi tena. Vibaka wako huko ccm kunakoliwa mabilioni ya pesa na hamsemi kitu.hakuna faida gentleman but ni Ukweli kwa waTanzania kutambua matapeli na vibaka wa kisiasa nchini,
low IQ haiwez elewa hoja nzito kama hizi gentleman π
pole sana gentleman,Yes na ninafurahia kutapeliwa huku. Nitaendelea kutapeliwa sababu nitaendelea kuchangia. Chadema hii imekusaidia na wewe kila baada ya masaa unafungua uzi kuhusu CDM. so shukuru sana ujio wa Lissu bila Lissu usingekuwa na cha kuandika.
Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu π
Mungu Ibariki Tanzania.
Laiti ikitokea uchaguzi ukafanyika kwa huru na haki, basi hata kama chadema wasipifanya kampeni au wafanye kampeni siku moja tu kabla ya uchaguzi, na kuhakikisha CCM watagaragazwa vibaya mno na wananchi.Ni wazi ukata wa pesa za matumizi ya chama unawapeleka puta haswaa. Wanahaha kutumia kila njia za kupata pesa kutoka kwa watu ambao waliwaita maskini na wengine waliwaambia wanafanya kazi za laana hususani bodaboda.
Inasikitisha sana na inafedhehesha sana kwamba hao bodaboda wanaofanya kazi za laana ndio huongoza misafara yao na ndio wachangiaji wa kubwa, japo ni wazi huwa wanatapeliwa tu pesa zao kisiasa, kwasababu hawafaidiki chochote kwa michango yao kwenda kwa watu ambao hawataki kujishughulisha na chochote na wasio na mpango wa kujitegemea bali kuomba omba kuchangiwa pesa tu.
Itashangaza sana itakapofika October mwaka, mwezi wa uchaguzi, wakati wengine wakifanya engagements na wananchi pamoja na maandalizi mengine muhimu ya uchaguzi, chadema wapo bize kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi ya kula na kunywa kwa viongozi wa chama.
Na zaidi sana,
wamejikita katika kuhamasisha wananchi wasishiriki uchaguzi huo mkuu wa kihistoria, kama ambavyo walifanya hivyo hivyo kuhamasisha wananchi wasiende kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa, halafu mwisho wa siku wakaja kupinga matokeo ya uchaguzi huo.
Ni wazi hata katika uchaguzi mkuu huu wa October, kuna kila dalili kwamba chadema watajitokeza kupinga matokeo ya uchaguzi, hali ya kua walijihamasisha wasipige kura katika uchaguzi huu.
Niwahakikishie waTanzania wenzangu wote, uchaguzi mkuu wa October utakaofanyika kwa mujibu wa katiba ya nchi, mshindi atapatikana na atatangazwa na vyombo vinavyosimamia uchaguzi huo, na atapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
Nashauri vyama vya siasa kujipanga vizuri kwaajili ya uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025 na kuacha kutapeli wananchi pesa na kuwadhulumu fikra, uhuru na haki zao za kikatiba kushiriki uchaguzi mkuu π
Mungu Ibariki Tanzania.
hakuna propaganda kwenye Ukweli kama huo gentleman,Hizo propaganda hazina nafasi tena. Vibaka wako huko ccm kunakoliwa mabilioni ya pesa na hamsemi kitu.
Uchaguzi ni huru na wa haki mara zote gentleman,Laiti ikitokea uchaguzi ukafanyika kwa huru na haki, basi hata kama chadema wasipifanya kampeni au wafanye kampeni siku moja tu kabla ya uchaguzi, na kuhakikisha CCM watagaragazwa vibaya mno na wananchi.
Kiufupi tumewachoka mnooooo viongozi na CCM yao.
Hivi Kuna alieshituka kuwa CCM na tanesco wametuongezea gharama za Matumizi ya umeme????
Nakwambia hivi hizo propaganda zako hazina nafasi yeyote. Kuna kamera 40 zinataka kufungwa kwa 540 milion. Kushaliona hilo?hakuna propaganda kwenye Ukweli kama huo gentleman,
inasikitisha tu kuona kijana anaepitia hali ngumu ya kimaisha anakubali kutapeliwa kiuchumi na vibaka wa kisiasa,
inafedhehesha sana kwakweli π
No. Mimi si maskini. Nina uwezo mzuri. Kama naweza changia usd 500 kwa mwezi siwezi kuitwa maskini. Hii ni kila mwezi. Nafurahi kuchangia. Na wewe sasa changiwa na Mbowe. Sawa? Kwa sasa mnajishughulisha na nini? Mbowe amekuwa kimya sana.pole sana gentleman,
mko wengi tu maskini ya Mungu, kama mazuzu vile, yaani mna hali ngumu kiuchumi, na bado mnabebwa kizembezembe na kutapeliwa hata kidogo mliochonacho na matapeli wa kisiasa,
inasikitisha sana inafedhehesha mno aise π
Gentleman,Nakwambia hivi hizo propaganda zako hazina nafasi yeyote. Kuna kamera 40 zinataka kufungwa kwa 540 milion. Kushaliona hilo?
unaweza kua vizur kiuchumi lakini fikra ndo hivyo tena,No. Mimi si maskini. Nina uwezo mzuri. Kama naweza changia usd 500 kwa mwezi siwezi kuitwa maskini. Hii ni kila mwezi. Nafurahi kuchangia. Na wewe sasa changiwa na Mbowe. Sawa? Kwa sasa mnajishughulisha na nini? Mbowe amekuwa kimya sana.