Pre GE2025 Mpaka kufikia Oktoba 2025, CHADEMA watakuwa wamefanikiwa kutangaza njia za kujipatia pesa tu na sio kutafuta kura na kushinda uchaguzi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
“Watapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.” Acha hizi mambo za kuwasemea watanzania wengine
 
Inasikitisha sana kwa M Tanzania kuandika haya maneno
Gentleman,
kutapeliwa pesa na kurubuniwa fikra, uhuru na haki ya kikatiba ya kupiga kura tena na kibaka tu wa kisiasa asie na mbele wala nyuma, ni aibu sana na inasikitisha sana aise 🐒
 
“Watapewa dhamana ya kuunda serikali na kuongoza nchi kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.” Acha hizi mambo za kuwasemea watanzania wengine
Gentleman,
kwa uhuru, amani na usalama wa kiwango cha juu sana,

mamilioni ya waTanzania wenye sifa za kikatiba za kupiga kura, watashiriki kikamilifu zoezi la kihistoria la uchaguzi mkuu mapema October mwaka huu 2025,

na kuamua hatma na uelekeo wa Taifa lao kisiasa, kijamii na kiuchumi kwa kupiga kura kwa uwazi, haki na uhuru wa kiwango cha kuaminika zaidi katika historia ya Taifa letu.

hakuna mbambamba kwenye hili 🐒
 
Unaumia ukiwa kipande gani?
 
Gentleman,
wakati kuna makanisa nchini yamefungwa kamera 4 tu za kisasa kwa 1bilion 🤣

hizo kamera 40 kwa million mia5 mbona very cheap, ni za kisasa kweli?🤣
Huko Tanzania???
 
Kuna muheshimiwa mmoja anachangiwa milioni moja ya kuchukulia fom na machawa ambao hawana mbele hata nyuma lakini hakuna anayehoji kitendo hicho.
 
Unaumia ukiwa kipande gani?
inasikitisha sana na inafedhehesha sana vijana wa kiTanzania kutapeliwa pesa na vibaka wa kisiasa gentleman,

vip nawe,
tayari wameshakupiga?🤣
 
Kuna muheshimiwa mmoja anachangiwa milioni moja ya kuchukulia fom na machawa ambao hawana mbele hata nyuma lakini hakuna anayehoji kitendo hicho.
nadhani hao matapeli wasingekua addict wa kubeti angalau wangeaminika,

mbaya zaidi omba omba mkuu amezoea vibaya sana konyagi na nyama zimemfanya asiwe na aibu kabisaa kuomba omba kuchangiwa pesa za pocket money ingawa familia yake inaaibika sana 🤣
 
Ulishaambiwa NO REFORM, NO ELECTION. Sasa watashindaje bila mabadiliko hayo?
 
unaweza kua vizur kiuchumi lakini fikra ndo hivyo tena,

hata vibaka tu wa kisiasa wasio na mbele wala nyuma wanakutapeli,
inasikitisha sana dah 🤣
Unaendeleaje na Mbowe? Mnajishughulisha na nini kwa sasa?
 
Chadomo ni Chama cha hovyo tu kimejaa mafala chuma ulete.
 
relax and calm down gentleman,

check content za wadau wengine itakusaiadia sana na kuacha kubabaika 🐒
Hujanijibu Gentleman, zaidi ya contents za Chadema, hua una habari nyingine ya kupost Gentleman??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…