Mpaka kufikia Umri huu nimeishi kwa shida sana ndugu zangu, moyo wa mtu umebeba mengi sana

Dah! Kumbe na taizi zooote hizi mkuu una kibamia? Dah! Aheri huu ugonjwa wako wa akili kuliko hiki kibamia. Pole sana
 
Bora yako mimi nilijaribu niishi maisha ya kawaida kama ya watu wengine hata gari nikawa natumia za watu wa chini ambayo niliichukua tu kwenye garage nyumbani ilikua haitumiki kabisa nakumbuka ilikua ferrari 250 GTO ambayo niliinunua $60M sawa na Billion 139 za kitanzania ila baba akanizuia nisiwe naiendesha maana haamini usalama wake kwakua niliinunua kupitia pocket money ambayo alinipa kwaajili ya matumizi madogo madogo ya shule

Nilivyoona nanyanyaswa sana nyumbani nikatoroka nikaenda kuomba kazi kwenye kampuni moja ambayo niliwaomba nifanye kazi bure kwa kujitolea walikubali ila wakaniomba basi angalau wawe wananipa posho ya mwezi kama million 50 ili angalau niweke mafuta ya gari basi nikakubali, Badae baba alivyosikia nafanya kazi ya kulipwa posho ya million 50 kwa mwezi akaamua kumpigia simu rafiki yake nakumbuka alikua karibu sana na Obama kipindi bado ni Rais wa USA

kikaandaliwa kikao ikulu white house Washington DC ila siku ya kikao nilikataa kwenda nikazima simu, wakaahirisha kikao wakapanga tarehe nyingine ndo nikaenda, kufika wakanishauri niachane na hiyo kazi ya 50M kwa mwezi maana nauchosha tu ubongo , ila Mimi niliomba waniruhusu waniache niishi maisha ya kawaida, mzee alikasirika sana akamwambia Obama niwekwe kwenye lockup ya ikulu ambayo ni chamber ya kujifichia Rais, nikaingizwa huko hadi nilipokubali kuachana na hiyo kazi
Stori ni ndefu ila ngoja niishie hapa.
 
Aise kumbe upo huku! Yule jamaa wa dukani anakutafuta sana anasema umemkopa mkate na unga robo tangu mwezi wa kwanza mpaka leo haujalipa! Na shemeji yako anasema umetoroka na ndala zake na sh 450/- aliacha juu ya meza! Anasema ama zake ama zako!
Hizo ndala zimetengenezwa kwa unga wa ngano nini?yaani ziwekwe juu ya meza khaaa.
 
Nimemkumbuka GuDume sijui yuko wapi siku hizi.
Huyo bint w Rais wa Marekani siyo Malia kweli mnamgombania na Mtemi Don Namilson?
Vipi wataalamu walivyopima mashine ya malia iliendana na bamia la lugano kweli?
 
Nikajua umeishi maisha ya shida ya kuliwa kiboga kumbe ukhabithi mtupu umeandika.
 
Mkuu ndio maana bange inazuiwa hapo bill lugano anabembea tu

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Mafi yako[emoji23][emoji23]

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Yani siku wana jf waamue wakuite kwa hotel ili wakuone sijui utakuja au vipi๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜


Any way siku yangu imeenda vizur mana uliadimika sana
 
Unaandika maujingaaaa!
 
Ushatoka usingizini? JF sio mchezo, mtu anaota na kuposti ndoto yake!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ