buguruni.
Au atafute ile mifuko laini ya kufungia ungalooo salaaleee, dem wa BUGURUNI vaa ndom 4 mkuu
utanishukuru baadae
Hahahaha kabisa,au atafute ile mifuko laini ya kufungia unga
baada ya kupeana namba Unge mpa minoti kadhaa kama ahsante kwa kutumia muda wake wa maongezi kumsimamisha njiani, hiyo ingempa flashback hata kama akiondoka, kumbuka nguvu ya pesa,pesa hupunguza kujieleza sana
[emoji3][emoji3][emoji3]Mapenzi yanachezewa sana....yani hivo tu?
Hadi anavoandika hapa tayari angekua kishaitwa "baby" "my wangu"baada ya kupeana namba Unge mpa minoti kadhaa kama ahsante kwa kutumia muda wake wa maongezi kumsimamisha njiani, hiyo ingempa flashback hata kama akiondoka, kumbuka nguvu ya pesa,pesa hupunguza kujieleza sana
Wanawake ni kama yule panya anaenusa mabomuWala isingesaidia mkuu. Mademu hua wana uwezo mkubwa sana wa kunusa fursa kwa sekunde chache tu za kukutana na wewe. Huyo demu alishamthaminisha jamaa akaona hapa hamna kitu ndio maana akampa namba hewa ili kupunguza usumbufu ππ
Huu ni uzwazwa umekufika ila bado hujajitambua. Kama angekuwa amekuelewa angekupa namba ya halali. Shtuka, na chapa mwendoHuyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi.
Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Nilimfata nikamwomba kama hatojali tubadilishane no kwa mawasiliano zaidi haikua rahisi nilihojiwa maswali kama naomba kazi UN.
Kishingo upande akanipa no akasema ila haipatikani akifika atawasha simu nami akasave yangu kwa simu alodai ni ya rafiki yake anatoka kuifata kwa fundi.
Tokea tulivyoachana hajanitafuta na no haipatikani.
Naumia sana nawaza sana siko tayari kumpoteza na sijui wapi pa kumpata
Naunga mkono HOJA yako 100%Ukweli ni kwamba hujamvutia.
Hili ndio jibu thread closedUkweli ni kwamba hujamvutia.