Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

Mpaka leo hajanitafuta, nakosa usingizi kabisa

Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Hukupewa namba ya simu na wewe.
 
Unakosa usingizi kwa mtu ambae humjui na wala yeye hakujui, afadhali mngekuwa mmeshaanza uhusiano hapo ningekuelewa
 
Ta
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni.
Take your time 😀😀
 
Wala isingesaidia mkuu. Mademu hua wana uwezo mkubwa sana wa kunusa fursa kwa sekunde chache tu za kukutana na wewe. Huyo demu alishamthaminisha jamaa akaona hapa hamna kitu ndio maana akampa namba hewa ili kupunguza usumbufu [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kimeumana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watu bilioni 7 + Duniani!,
60mil+ Tz nzima
Unakosa usingizi Buguruni!!
 
Wala isingesaidia mkuu. Mademu hua wana uwezo mkubwa sana wa kunusa fursa kwa sekunde chache tu za kukutana na wewe. Huyo demu alishamthaminisha jamaa akaona hapa hamna kitu ndio maana akampa namba hewa ili kupunguza usumbufu 😂😂
Hapa unamzungumzia mwanamke au Changudoa....??

Changudoa ndio anaangalia mfuko wa mwanaume kwa kuwa nyeti zake amezifananisha na duka linalomuingizia kipato.......
 
Back
Top Bottom