crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Pamoja na timu ya Chelsea kuuzwa tangu mwezi Machi mwaka jana, Serikali ya Uingereza haijatumia hata mia kwa fedha zilizopatikana kutokana na mauzo hayo.
Zaidi ya 2.5b £ (Karibu trilion 6 za kibongo) zipo benki kutokana na mkwamo wa kisheria juu ya kuruhusu pesa hizo. Wakati Uingereza ikitaka pesa hizo zikatumike katika misaada ya kibinadamu nchini Ukraine, aliyekuwa mmiliki wa timu hiyo bwana Roman Abramovich anataka zikasaidie waathirika wa pande zote mbili yaani Urusi na Ukraine hivyo kugoma kutoa idhini/saini yake kuruhusu matumizi ya fedha hizo.
Hii ndio mifumo imara ya kisheria na haki ya nchi za kimagharibi waliyojiwekea wenyewe mpaka wanashindwa kuivunja.