Mpaka leo sijawahi elewa kwanini wasanii hawa hawaelewani

Mpaka leo sijawahi elewa kwanini wasanii hawa hawaelewani

Mnazikumbuka bifu za zamani;

1.Sister P na Zay B

2.Kala Pina na wasanini wote [emoji23][emoji23]

3.Wanaume TMK na Wanaume halisi
Juma Nature vs Inspector Haruna
TMK Wanaume vs East Coast
 
Wapige mziki sisi tuburudike, wasipotaka wao wengine watatuburudisha, si umemwona Nandy? Konde boy? Zuchu ?

Sisi tunataka mziki mtam

Nandy alibebwa na papuchi, siku hizi kavishwa pete na kimarioo cha Kinondoni hakuna tena Ruge wa kumshobokea!
 
Hata Kama ni maslahi ya kibiashara...Kuna uchokozi mwingine unakuwa excessive sana
I bet ipo siku Kuna upande uzalendo utawashinda watarusha ngumi hewani....
 
Back
Top Bottom