Mpaka leo sijaweza kuelewa haya mambo. Nadhani hapa kuna Jambo lifanyike. Inasikitisha Sana


Nakubali mkuu
 
Huyu ni mwehu na ni mpumbavu! Watu wanasumbuliwa na Mwigulu na matozo ya kipumbavu yy analeta utani! Kuwa serious basi!
Sasa wewe unaleta makasiriko katika nyuzi za wenzio. Wewe kama unasumbuliwa na mwigulu si ukamkasirikie Mwigulu? Unaleta makasiriko kwa mtu ambaye hasumbuliwi? We vipi dada? Maisha yako yabaki kuwa yako. Sisi wengine tunapenda maisha mazuri kama ya Bill Lugano wewe kisirini,chuki,hasira na makasiriko peleka kwa hao wanaokusumbua.....
 
Ulianza vema lakini umepoteza uhalisia.
 
🤣🤣🤣 Hivi mheshimiwa hakuna nafasi ya uchawa niwe na kupraise tafadhali. Hali ngumu sana mheshimiwa. Tusaidie mheshimiwa utuletee hata shehena ya mafta utugawie bure sisi we tu vits
@kidukulilo kiboko ya wahaya. Anawajulia hasa.
 
Mkuu.naanza Kaz ya uchawa kwakujitolea ukilizika na Kaz yangu niajiri rasmi
 
Kidogo niamin ila ulipo sema gari lako linatoa maji na watu wanakinga na wanasema ni matamu nikaamin hii ni chai ya mwarobaini
Ni kweli. Gari ambayo engine yake iko intact
hutoa like-white vapor ikiambatana na drops ya maji. Ukiona gari inatoa moshi tena mweusi ujue hakuna engine hapo.
Pamoja na kwamba anawasilisha kwa utani wa kihaya lakini yupo sahihi kabisa.
 
Labda huko mto kagera.
 
Karibu sana, tulikumiss sana...
Kuna vitoto vitoto vingi JF siku hizi, kwa hiyo wavumilie tu na majibu yao.....
 
Kiduku Lilo naomba msaada wa lile friji lako kubwa kama chumba ambalo mwana JF alipotea akajua ni chumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…