Mpaka leo, Ushahidi woooote wa Katuga et al hakuna mahali umethibitisha elements/ingredients za uhaini

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,815
Reaction score
103,955
Ni kupoteza muda na kumtesa Lisu.

Sisi tuliokuwepo mahakamani wakati wa kesi za akina Bibi Titi et al , kinachofanyika sasa hivi ni michezo ya kitoto mahakamani.
At least Lisu anaongea sheria, anachambua pertinent issues partaining what constitutes uhaini, and his not part of those ingredients .... hawa wengine wanaongea posho each day attended!
 
Ila mwisho wa siku usije ukashangaa upande wake ukipata ushindi, kupitia kwa majaji ambao wanatekeleza majukumu yao kwa maelekezo kutoka juu.
 
Naona Katuga anahangaika tu kuwanasua mashahidi wa kificho
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…