Mpaka leo, wapo wanaoamini Tundu Lissu alishambuliwa na vikosi vya Serikali awamu ya tano, na wapo wanaoamini ni mchezo wa CHADEMA kufitinisha utawala

Chunguzeni kama walitoka kwenye chama chake ukweli ujulikane kama ni upande usiojulikana mambo yawe wazi , daily lalamika mambo ya kijinga , vyombo si vipo acheni tumia akili zenu vibaya
 
Sijui hata mnalipwaga bei gani kusambaza upuuzi kama huu🚮
 
You nailed it.
 
Sijui hata mnalipwaga bei gani kusambaza upuuzi kama huu🚮
Hapana mkuu, tunajaribu kutahadharisha tu, hivii, Tundu Lissu anavyodai anafuatiliwa na watu wasiojulikana katika kipindi hiki ambapo kuna mgogoro ndani ya chama chake, unadhani tuzunguze lipi mkuu
 
Siyo kwamba alishambuliwa mchana kweupe bali ni ALISHAMBULIWA MCHANA KWEUPE KWENYE MAJENGO YA SERIKSLI YENYE ULINZI WA MAAFISA WA WA SERIKALI NA CAMERA ZA ULINZI AMBAPO HAKUNA HATA MLINZI MMOJA AMBAYE AMEWAHI KUHOJIWA WALA KUPATIKANA KWA KAMERA ZILIZOKUWEPO ENEO LA TUKIO.

KAMA WALISHAMBULIANA WENYEWE KWA WENYEWE INA MAANA KWAMBA CHADEMA WANA NGUVU KUIZIDI SERIKALI ILIYOKUWEPO MADARAKANI MPAKA WAKAFANYA UNYAMA HULE NDANI YA MAJENGO YA SERIKALI WANAMOISHI MAWAZIRI NA WABUNGE NA WASIHOJIWE NA VYOMBO VYA ULINZI NA WANA DUNDA TU KITAANI MPAKA LEO?
 
Ni wazi shambulio hili lilifanywa na Serikali ya jiwe na watendaji wake wa kikosi kazi, hili jambo jiwe na bashite hawana pa kutokea. Wallah naapa haya mambo ya mauaji ya jiwe ndiyo yaliyomharibia cv yake ya uongozi ktk Afrika na dunia nzima, vinginevyo angekuwa kiongozi wa kupigiwa mfano.
 
Hivi mtoa mada unashindwa kuona kwa jicho la tatu mhusika mkuu wa shambulizi la Lissu alikuwa Alwatan Jiwe ?
Tena akisaidiwa na Toto lake moja lililokuwa mjini Bongoland ..

Polisi hawawezi kufanya uchunguzi kwa kuwa tukio lilikuwa zaidi ya uwezo wao (above capacity)

Ila kuna siku yaja kwa Serikali za huko mbele kuna watu watakuja kushughulikiwa kwa tukio la nyuma
 
Una kichaa cha Rabies, tena kikubwa kikiamnatana na shetani Luciferi. Kwahiyo chadema ndio walikuwa wanawakataza watu kumwombea, kuvaa tshirt, ndio walikataa kumtibu, ndio walimfutia ubunge, chadema ndio walingoa cctv camera

Ulaaniwe ufe usiku huu, nyote semeni AMEN
 
Daima roho mbaya hailipi..!
 
Alitaka kuonja sumu kwa ulimi, na sasa naona ameanza kuonyesha nia ya kujaribu tena. Sijui anadhani sumu ime-expire !?
 
Hivi mods wana akili Timamu kweli kuacha uzi wa kipumbavu Kama huu utamalaki humu ndani?
 
Ujinga ni kipaji. Kwa Serikali hii, CHADEMA wafanye jinai inayoichafua nchi mpaka katika nyanja ya siasa za kimataifa, wahalifu wasikamatwe hadi leo? Wangedakwa kama kuku, kama hawajadakwa hadi sasa elewa sababu, acha kukaza fuvu.

TL sio national figure, ni International figure, only wenye nguvu ndio wanaweza kumgusa, "wenye nguvu" unawajua ewe mleta mada?
 
Umesema ukweli sana! Mungu akubariki sana!
 
Waambie ukweli Hawa mapimbi hawaelewi kitu chochote kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…