Mpaka lini jamani?

Don-Lema

Member
Joined
Sep 19, 2014
Posts
11
Reaction score
1
Ndugu zangu wa JF ufike wakati vijana tujifunze mambo yanayo ikera jamii , ambayo tunayashuhudia kila siku kwa kuyaona ,kusikia hata kutendewa kabisa wakati tunafahamu fika si sahihi,..
Ndugu zangu katika elimu ususa ni masuala ya vyuo. Tumeshuhudia mabadiliko yaliyo letwa haraka yaani wa nasema BIG RESULT NOW ,da kwa kweli walifanikiwa kweli kweli tena waka sema form 6 watajiunga chuo div 1 hadi div 4 .
Jamani usumbufu unaowapata wanafunzi KUJIUNGA CHUO,KUOMBA MKoPO, KUHAMA CHUO ni karaha na maumivu yasiyo yalazima lakini najiuliza KOSA HILI NILA NANI ?
Hivi nani ALAUMIWE?
Jamani kweli kama serikali yetu haijaweza kusomesa watanzania bure vyuoni !! HATAMKOPO NAO HAIWEZI KUWA KOPESHA? Da nauliza. MPAKA LINI???????
VIJANA TUYAONE ,TUJIFUNZE ,YATUKERE,NA TUYAREKEBISHE. TUNAPOPATA NYAZIFA HIZO!
 
Mwalimu tumuenzi tu alijua hali, alithubutu,na alifanikiwa!
 
Mwalimu Nyerere alijitahidi kuhakikisha watanzania wanapata elimu ya juu na fedha ya matumizi bure.Leo hii hata mkopo tu kuupata imekuwa ni anasa.
Kweli B-ora R-ais N-yerere.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…