Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

Mpaka lini tutakuwa watu wa vitu vya mitumba?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2016
Posts
14,311
Reaction score
36,056
Swine

Yaani nimekaa sehemu ya uwazi hivi mitaa ya nyumbani jimbo la muheshimiwa Gwaji Boy, kila mchuuzi anapitisha mitumba.

Nimeangalia kwenye parking ya magari 80% ni mitumba

Nacheck washkaji na mademu wao yaani wana vitambi na putty za kutosha usoni, yaani full mitumba

Nimeletewa beer kwenye chupa ya mtumba

Ee-mwenye-enzi Mungu, tupe fungu lililobora tuachane na mitumba. Amen
 
Back
Top Bottom