Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

Mpaka muda huu, kuna yeyote aliyepata mrejesho wa ya tamko la tozo?

MUSIGAJI

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2014
Posts
2,254
Reaction score
2,715
WanaJF,

Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala.

Je, mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?
 
Huu ugomvi ni wa wapandishwa madaraja na wasamehewa kodi kwa asilimia 1, ajabu madhara yanatugonga mpaka sisi wakulima.

Kama hesabu zao zilikuwa kuwafurahisha upande huu, na kuwachota upande wa pili, si wangetafuta mbinu za kudili nao kiserikali.

Eti akapunguza paye kwa 1%, akawapandisha madaraja KISHA akawapiga na tozo, kodi ya kizalendo.

Kama vipi akaushe tu, kwanza amesema sisi wenyewe hatuna shida na tozo. Ajitahidi kuongeza sifuri sifuri kwenye hizo tozo, sh 100 au 1000 ndo nini sasa? Sifuri nne mpaka tano itapendeza zaidi.
 
WanaJF,

Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala.

Je mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?.
Hii tozo ni unyang'anyi. Ifutiliwe mbali. La sivyo nitatembea nimebeba bango la kudai katiba mpya ikiwa pamoja na tume huru ya uchaguzi.
 
Majibu katoa spika, funika kombe mwana apita, hujaielewa tu hii serikali ya ccm. Wanajua kwa walichokijibu leo kupitia Spika wa bunge kitafunga wapiga kelele midomo
 
WanaJF,

Kutokana na kauli ya msemaji ww serikali aliyoitoa juzi, Leo ndo siku ya tamko rasmi juu ya mustakabali wa tozo za miamala.

Je mpaka muda huu, kunaueyote ambaye amepata update ya tamko tajwa atujuze?.
Tunasubiria mpaka muda huu bado hakijaeleweka

Sent from my Infinix X692 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom